Nilikuambia unijulishe umevaa dera la aina gani nikuone. Bado hujapanick utapanick sana.Kwenda huko na unafiki wako hapa wewe. Wewe ndiye kila siku ulikuwa unasema utaandamana lakini jana umetokomea na kujificha uvunguni
Kwanini hukuandamana.hadi mtoto wa kike wa Mbowe amekuzidi ujasiri?Nilikuambia unijulishe umevaa dera la aina gani nikuone. Bado hujapanick utapanick sana.
Ujinga na kukosa kwako adabu kuna kusumbua.Hapo kuna polisi wenye silaha waliokataza watu kujitokeza kwenye ziara ya huyo mtekaji?
Kwa rais yoyote duniani ni jambo la kawaidaNdugu zangu Watanzania,
Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake kwa sasa katika kuongoza muhula wa pili.tukubali ukweli kuwa CCM inapaswa kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa Rais Samia.
Ni lazima tukubali kuwa CCM Ina chaguo moja tu kwa nafasi ya Urais ambaye ni Mama Samia. Tusema ukweli kuwa hakuna mtu yeyote yule mwenye uwezo wala ushawishi wala nguvu wala uwezo wala ubavu wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.
Rais Samia ndiye mtu pekee anayekubalika,kuaminika,kuaminiwa,kukubalika,kupendwa , kuungwa mkono na Mwenye ushawishi Kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.ndiye aliyebeba na kushikilia matumaini na furaha ya watanzania.ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili .unune au utukane matusi hadi ya nguoni kwa chuki zako binafsi.lakini ukweli unabakia kuwa RAIS Samia ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Embu tizama katika picha hizi namna Rais wetu Mpendwa alivyolakiwa na kupokelewa kwa maelfu kwa maelfu katika ziara yake huko Ruvuma. Kwa hakika huyu Mama ni kipenzi cha watanzania.hazuiliki huyu mama katika mioyo ya watanzania.
View attachment 3105353View attachment 3105355View attachment 3105356
Hapa chini pichani akionyesha upendo wake kama mama kwa kuwabeba watoto juu ya gari yake na kuonyesha namna alivyo mama mwenye upendo kwa watoto .ndio maana anajenga shule kwa wingi,kuajiri walimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya watoto hawa.
View attachment 3105359
Naye alikuwepo?watu walienda kisa diamond platnumz,
Siyo kweli.Rais Samia anapata mapokezi mazito na makubwa kwa sababu anapendwa. Lakini wapo Marais wanakosa kabisa mapokezi ya wananchi wao kutokana na kukosa kwa uungwaji mkono na ushawishi kwa watu.Kwa rais yoyote duniani ni jambo la kawaida
Siyo kila anayempokea anampenda wengine wameenda kuangalia wasanii.Wivu tu ndio unaokusumbua hapo ulipo.Mapokezi mazito ya Mheshimiwa Rais yanaendelea kuwachanganya na kuwavuruga sana wapinzani wa Rais Samia.
Rais wetu Mpendwa anapendwa na kukubalika na watanzania kwa dhati ya mioyo yao.Siyo kila anayempokea anampenda wengine wameenda kuangalia wasanii.
Mirembe lini?
Anapendwa na chawa wake tuRais wetu Mpendwa anapendwa na kukubalika na watanzania kwa dhati ya mioyo yao.
Kweli wajinga mpo wengi sana.Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan hata akifanya ziara usiku wa manene atakuta maelfu kwa maelfu wamefurika viwanjanisiku moja afanye ziara jumamosi au jumapili ulete picha , hapo robo tatu ya watu ni wanafunzi na walimu wamepewa day off.
Kweli wajinga mpo wengi sana.Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan hata akifanya ziara usiku wa manene atakuta maelfu kwa maelfu wamefurika viwanjani
Hauziki wakati unaona namna watu walivyofurika kwa Maelfu?
Ngoja nikuwekea na picha za mikoa mingine na videoView attachment 3105399View attachment 3105400
Ngoja uchunguzi ufanyike .Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni
Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 24, 2024 kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...www.jamiiforums.com
Lindi,Mtwara,Dodoma,Singida ni mikoa yenye wajinga na maskini wengi sana,so sishangai.Ndugu zangu Watanzania,
Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake kwa sasa katika kuongoza muhula wa pili.tukubali ukweli kuwa CCM inapaswa kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa Rais Samia.
Ni lazima tukubali kuwa CCM Ina chaguo moja tu kwa nafasi ya Urais ambaye ni Mama Samia. Tusema ukweli kuwa hakuna mtu yeyote yule mwenye uwezo wala ushawishi wala nguvu wala uwezo wala ubavu wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.
Rais Samia ndiye mtu pekee anayekubalika,kuaminika,kuaminiwa,kukubalika,kupendwa , kuungwa mkono na Mwenye ushawishi Kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.ndiye aliyebeba na kushikilia matumaini na furaha ya watanzania.ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili .unune au utukane matusi hadi ya nguoni kwa chuki zako binafsi.lakini ukweli unabakia kuwa RAIS Samia ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Embu tizama katika picha hizi namna Rais wetu Mpendwa alivyolakiwa na kupokelewa kwa maelfu kwa maelfu katika ziara yake huko Ruvuma. Kwa hakika huyu Mama ni kipenzi cha watanzania.hazuiliki huyu mama katika mioyo ya watanzania.
View attachment 3105353View attachment 3105355View attachment 3105356
Hapa chini pichani akionyesha upendo wake kama mama kwa kuwabeba watoto juu ya gari yake na kuonyesha namna alivyo mama mwenye upendo kwa watoto .ndio maana anajenga shule kwa wingi,kuajiri walimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya watoto hawa.
View attachment 3105359
Ikiwa wewe mlalahoi eti unajihesabu kua ni mlipa kodi! Bakhresa aseme nini?Nilikua mkoni Ruvuma kwa wiki moja niseme tu kwa kifupi kua kodi zetu zinatumika vibaya sana .
Yule bibi ametufanya tunaishi kama Digi gidiNgoja uchunguzi ufanyike .
Lucas, kazaliwa huko hukoLindi,Mtwara,Dodoma,Singida ni mikoa yenye wajinga na makini wengi sana,so sishangai.
Ikiwa wewe mlalahoi eti unajihesabu kua ni mlipa kodi! Bakhresa aseme nini?