Tizama Katika Picha Namna Watu walivyofurika Maelfu Kwa Maelfu Kumlaki na kumsikiliza Rais Samia Mkoani Ruvuma

Waalimu hao mkuu
 
CHADEMA wakiona hivi na wakikumbuka namna walivyokataliwa kwenye maandamano yao uchwara wanabakia wanatukana matusi tu kama vichaa au wendawazimu
Lucas .......naona leo unaandika kwa chuki sana, kwani imekuwaje tena, hoja ujibiwa kwa hoja πŸ˜€ πŸ˜€
 
Ujinga na kukosa kwako adabu kuna kusumbua.
Ni mtekaji hilo halina mjadala. Sina tabia ya kuheshimu watu wanaongia madarakani kwa njia zisizo za heshima. Ww ndio unapaswa kuwaheshimu maana maisha yako yanategemea hisani yao.
 
Walioenda ukiwauliza Mama ameongea Nini awajui,, wanajibu walifuata wasanii tu
 
Lucas .......naona leo unaandika kwa chuki sana, kwani imekuwaje tena, hoja ujibiwa kwa hoja πŸ˜€ πŸ˜€
Mimi nawaambia ukweli tu japo mchungu.si unaona mbowe jana alikuwa anaomba akaandamane na waandishi wa habari baada ya kuona amekimbiwa na vijana wake matapeli na waongo
 
Wivu tu ndio unaokusumbua hapo ulipo.Mapokezi mazito ya Mheshimiwa Rais yanaendelea kuwachanganya na kuwavuruga sana wapinzani wa Rais Samia.
Wivu Gani kwahiyot asafirishe watu mpaka kutoka Matiri ndani ndani huko ili waje wamuone yeye Chura akibwabwaja?
 
Wivu Gani kwahiyot asafirishe watu mpaka kutoka Matiri ndani ndani huko ili waje wamuone yeye Chura akibwabwaja?
Naona leo ma CHADEMA mmeamka na mahasira sana kama wagonjwa baada ya jana kushindikana kwa maandamano na kumuuza Mbowe na familia yake tu
 
Bila shaka una upofu wa macho na akili.
Na wanafunzi mkuu ndio wamejaa kweli tena na watumishi wa halmashuri zote ruvuma mashirika yote ruvuma hapo huwezi mkuta mtu mkulima au mvuvi mkuu.

Na macarder wa chama wano pelekwa pelekwa tu posho wanasaini wengine na marangi rangi yao kijani mda wote

Kofia zimepauka ya toka kikwete bado anayo mpaka leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naona mnajifariji huku mkiumia sana mioyoni mwenu CHADEMA
 
Wengi wao hapo hata mia hawana mfukoni, acha waje kula bure na kumwona Diamond, CCM mna dhambi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…