Sina Ndugu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2024
- 378
- 604
Mwabukusi ni kiongozi wa chadema?Yeye Mwabukusi aliandamana?
Umeongea mambo meengi ila ni porojo tupu.Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.
N. B:
Jana hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Kwani vyama vya siasa ndio vinatakiwa kusimanga watu?TLS sio chama cha siasa kuanza kusimanga watu!
Sasa ww ndo msemaji wa hizo timu? Unatumika vibaya wwNimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.
N. B:
Jana hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Dada angu kwani unatujua kwa sura?Sasa Wacha tujiulize sisi wengine tumepumbazwa.. huyo rais wenu wa TLS mbona hatukumuona magomeni pale? Na nyinyi humu madomo kaya wa Jamii Forums mbona hatukuwaona? Kwanza kabla ya kuwadhihaki wananchi wa kawaida jiangalieni nyinyinajiita waelewa na wajuaji mbona mmeishia kuwa keyboard worrier hapa JF
Tena mtu wa hovyo zaidi ni mroa madaNimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.
N. B:
Jana hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Hao watu 45 walikamatwa unawafahamu wote kwa sura na majina?Mbona ww juzi hukuonekana kwenye rally ..mkamuacha mwenyekiti pekeyake?
Mwabukusi ni mpuuzi anayetumika na CHADEMA. Halafu wengi wenu hapa mtandaoni ni mashujaa ila kwenye maandamano mlimwacha Mbowe mwenyewe.. shame on you.Kasema kweli ndiyo zinatumika kupumbaza watu wanakuwa wajinga
Unauliza kama nani?Wewe ulienda kuandamana?
Wewe dada angu huna akili, unatufahamu kwa sura? kama tulimwacha watu 45 waliokamatwa wote walitoka nyumbani kwa Mwenyekiti?Mwabukusi ni mpuuzi anayetumika na CHADEMA. Halafu wengi wenu hapa mtandaoni ni mashujaa ila kwenye maandamano mlimwacha Mbowe mwenyewe.. shame on you.
Wewe shangazi hukushiriki maandamano.Wewe dada angu huna akili, unatufahamu kwa sura? kama tulimwacha watu 45 waliokamatwa wote walitoka nyumbani kwa Mwenyekiti?
Hapana dada angu nilishikiliwa kwa masaa mawili asee pale Kinondoni ManyanyaWewe shangazi hukushiriki maandamano.
Nimeipenda hiiNani kawazuio kuimarisha SACCOSS yenu ya Chadema?