TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

Umsema kweli tupu, hawa wachaga na hao wengine wanajiona wao ndio wenye haki ya kuwapangia watu maisha yao? Hawa wakipewa inchi si watalaza watu saa moja usiku, hawafai kupewa hata mtaa wacha inchi
Jamaa ni wabinafsi sana
Yaani wanataka kuwapangia watu nini cha kufanya? Kuweni makini na mabeberu
Yanga na simba amezikuta na ataziacha
 
 

Attachments

  • Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    15.4 KB · Views: 1
Pamoja na yote Mimi nimeumia kwa kauli aliyoitoa, maana ametubagua sisi tupendao michezo kwa kweli !
 
Hivi watanzania waoga kama mimi wenye kuogopa kuvunjwa miguu, kusweka ndani au kuuawa na wadhalimu hatuwezi kuwa na namna yetu ya kuandamana na kufikisha ujumbe utakaotikisa uchumi? Mfano tukiamua nchi nzima na kujipanga tusitoke ndani ya majumba yetu hata siku tatu tu hatuwezi kuwapa somo?
 


WAPO SAHIHI ASILIMIA 1000000000000
 
Ukishtakiwa uje kuomba msaada wa kisheria TLS.
 
Kwa hiyo Mwabukusi akiona mambo ya Simba na Yanga ni ya ovyo unataka asiseme ukweli anavyouona yeye?

Unataka aseme uongo?
 
Kwa hiyo Mwabukusi akiona mambo ya Simba na Yanga ni ya ovyo unataka asiseme ukweli anavyouona yeye?

Unataka aseme uongo?
Kwa hiyo sisi tukiona mambo ya Simba na Yanga ni sawa tusiseme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…