Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Nimeipenda hiiChakushangaza wote humu mnao comment kumuunga mkono Mwambukusi hakuna hata mmoja aliye jitokeza kwenye maandamano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda hiiChakushangaza wote humu mnao comment kumuunga mkono Mwambukusi hakuna hata mmoja aliye jitokeza kwenye maandamano.
Pole sana Anti Benja.Hapana dada angu nilishikiliwa kwa masaa mawili asee pale Kinondoni Manyanya
Umsema kweli tupu, hawa wachaga na hao wengine wanajiona wao ndio wenye haki ya kuwapangia watu maisha yao? Hawa wakipewa inchi si watalaza watu saa moja usiku, hawafai kupewa hata mtaa wacha inchiNimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.
N. B:
Hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Kwani nimesema umesema?? Kuna mahali nimesema umesema watanzania wote??
Umesema watanzania wengi!! Na mimi nasema, kwa kuwa umesema wengi, naamini siyo wote!! Na kama siyo wote, unaonaje uki'deal' na wanaopenda siasa kwani ni lazima wote waingie mlengo huo?
Nyie mnaopenda siasa mnatosha! Lazima kuwepo na division and specialization of labor! Nyie komaeni na siasa sisi tukomae na michezo!
Litakuwa jambo la hovyo sana kama wote tukiwa na mawazo mamoja! Lazima tutofautiane hata vidole havilingani!
Asante dada anguPole sana Anti Benja.
Pamoja na yote Mimi nimeumia kwa kauli aliyoitoa, maana ametubagua sisi tupendao michezo kwa kweli !Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.
N. B:
Hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
45 kati ya 65m???Hao watu 45 walikamatwa unawafahamu wote kwa sura na majina?
Ningekujua, kwani kwenye maandamano niliwaona vigori wachache na sura zao mbaya, kama ungekuwepo wewe kigori mwenye sura nzuri ningekujua tu!Dada angu kwani unatujua kwa sura?
Usivyo na akili ulitaka wakamatwe watu 65M?45 kati ya 65m???
Hapana dada angu mi nilizuiwa pale Kinondoni ManyanyaNingekujua, kwani kwenye maandamano niliwaona vigori wachache na sura zao mbaya, kama ungekuwepo wewe kigori mwenye sura nzuri ningekujua tu!
We dada tungekujua tu ungetokelezeaHapana dada angu mi nilizuiwa pale Kinondoni Manyanya
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.
N. B:
Hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Ukishtakiwa uje kuomba msaada wa kisheria TLS.Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.
N. B:
Hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Poa sisterWe dada tungekujua tu ungetokelezea
Kwa hiyo Mwabukusi akiona mambo ya Simba na Yanga ni ya ovyo unataka asiseme ukweli anavyouona yeye?Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi