TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.

N. B:
Hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Umsema kweli tupu, hawa wachaga na hao wengine wanajiona wao ndio wenye haki ya kuwapangia watu maisha yao? Hawa wakipewa inchi si watalaza watu saa moja usiku, hawafai kupewa hata mtaa wacha inchi
Jamaa ni wabinafsi sana
Yaani wanataka kuwapangia watu nini cha kufanya? Kuweni makini na mabeberu
Yanga na simba amezikuta na ataziacha
 
Kwani nimesema umesema?? Kuna mahali nimesema umesema watanzania wote??

Umesema watanzania wengi!! Na mimi nasema, kwa kuwa umesema wengi, naamini siyo wote!! Na kama siyo wote, unaonaje uki'deal' na wanaopenda siasa kwani ni lazima wote waingie mlengo huo?

Nyie mnaopenda siasa mnatosha! Lazima kuwepo na division and specialization of labor! Nyie komaeni na siasa sisi tukomae na michezo!

Litakuwa jambo la hovyo sana kama wote tukiwa na mawazo mamoja! Lazima tutofautiane hata vidole havilingani!
 
Attachments

  • Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    15.4 KB · Views: 1
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.

N. B:
Hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Pamoja na yote Mimi nimeumia kwa kauli aliyoitoa, maana ametubagua sisi tupendao michezo kwa kweli !
 
Hivi watanzania waoga kama mimi wenye kuogopa kuvunjwa miguu, kusweka ndani au kuuawa na wadhalimu hatuwezi kuwa na namna yetu ya kuandamana na kufikisha ujumbe utakaotikisa uchumi? Mfano tukiamua nchi nzima na kujipanga tusitoke ndani ya majumba yetu hata siku tatu tu hatuwezi kuwapa somo?
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.

N. B:
Hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo

WAPO SAHIHI ASILIMIA 1000000000000
 
Ukishtakiwa uje kuomba msaada wa kisheria TLS.
 
Kwa hiyo Mwabukusi akiona mambo ya Simba na Yanga ni ya ovyo unataka asiseme ukweli anavyouona yeye?

Unataka aseme uongo?
 
Kwa hiyo sisi tukiona mambo ya Simba na Yanga ni sawa tusiseme?
 
Back
Top Bottom