TMA: Hatujawahi kusema kuna Mvua za El-nino, wanaosema hivyo Wanapotosha

Aise! Hofu yetu ni hizo ~tsh730b/= zilizotolewa kwa ajili ya El nino! Hayo mengine tulishazoea siyo mambo mageni,tulishazoea uongo wa serikali.
 
Sasa Serikali imetenga bilion 730 za nini?
 
Na aliyetenga bilioni 700 alitenga kwa ajili ya joto au mvua nyingi?
Hawa ccm walipata habari za mvua nyingi wapi hadi wakachota hayo mabilion?
 
Wamekana sasa, tunafanyaje na hela ccm wamegawana zote?
 
Kwahiyo zile Billion 700 mlizotafuna zilikuwa ni kwa ajili ya Hiyo tu??

Ile tahadhali kwamba tutunze vyakula ndani pamoja na madawa ilikuwa ni hilo tu joto?

Jinga wakubwa nyie
 
Watanzania wanadharaulika sana ....yaani serikali inaona raia wake malofa tu.....
Kwa upumbavu huu hii TMA kwisha habari yake...Chang'a naona anatumika kuhamisha magoli..Hiyo PhD yake ni takataka tu..
Akili ya kawaida, El Nino inatokea bahari ya Pacific, mvua ya gharika inyeshe Tanzania au Africa kweli?
Africa inahusika zaidi na maji ya bahari za Hindi na Atlantic.
Hata hivyo, hizi ni nyakati za vilaza kuwa na ushawishi kwa jamii na mataifa kwa ujumla.
 
Duh 🙄 !
Halafu wengine wanaambiwa wanaendekeza Rushwa 🤣🤣 ! Labda ndio maana wanawakoromea 😳😁 !
Kazi kweli Kweli !
 
Genge la WEZI wa CCM ndo limetufikisha hapa wanaiba bila aibu wala haya
 
Kazi kweli kweli.

Kwa hiyo wakati tunasafisha mtaro,madaraja, tunahama mabondeni na kuweka akiba ya chakula walikuwa wanatuchora?..
 
Duuuh B730 zimeshaliwa Sasa tunashuhudia sarakasi tu
 
Nchi hiî tumegeuzwa kuwa wajinga,hatuna akili ni mazombi na hatujui lugha.el nino ni badiliko la hali ya hewa na si mvua nyingi.tanganyika amka tunalizwa na wajinga.
Teh teh 😃 😃 umenivunja mbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…