TMA: Hatujawahi kusema kuna Mvua za El-nino, wanaosema hivyo Wanapotosha

Ni bora ungekaa kimya tu boss, kuna mambo mengine hata kutetea ni aibu.
 
Brother, ingekuwa jambo jema sana kama text hii ungeichukua kama ilivyo ukai-paste pale pale mwanzo chini ya maelezo ya afisa wa TMA. Inaweza kusomeka, MAELEKEZO YA SERIKALI KUJIKINGA NA MVUA ZA EL NINO.
 
🤣🤣🤣🤣🤭
Tz ingekuwa basi ningeshashuka
 
naona chadema sasa wanadai elinino kwa nguvu ama viongozi wajiuzulu😂😂,waambieni chadema kina ngwajima na kitima wameshaomba kwa mungu,elnino isitupate,,kama mungu yupo,atakua kasikia maombi
 
Mnaowaamini hawa wapigaji ndo mna matatizo.
 
Wameshapewa fungu wanaanza usanii kwa kupinduapindua maneno, kama hawakumaanisha mvua imekuwaje kila kona ya nchi hivi sasa Halimashauri na Manispaa wanachimba mitalo ya maji mikubwamikubwa? Kuna baadhi ya maeneo kama Turiani Morogoro wananchi wa kitongoji kizima wamehama baada ya angalizo la serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…