TMA: Hatujawahi kusema kuna Mvua za El-nino, wanaosema hivyo Wanapotosha

Sisi sasa hivi tunakomeshwa na EL JUA na pesa za maafa tunazipiga๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
huyu ni mpuuzi.....kwanini mnafukua mitaro ili maji yapite, kwanini mmewahamisha watu kando ya mito, kwanini mnatengeneza madaraja( Tanga) kama El Nino ni joto na si mvua kubwa! Blood ng'ombe!
 
Hiyo mamlaka ingefutwa tu haina tija.

Kwa teknolojia gani kwanza waliyonayo hadi wajue hali ya joto bahari ya Pacific?

Kila siku wanasema mvua za juu ya wastani,binafsi nimeingia gharama ya kununua moramu trip 3=300K na kulipa watu kushindilia.
 
Washakula hela zimeisha wanataka hela zingine kwa njia nyingine sasa tuhamie kwenye namna ya kulidhibiti jua kali la el nino itengwe Billion 900 kudhibiti hali hio, Qumamamake
Mimi nilisema haya mambo ya El nino ni upigaji, nikashambuliwa sana.

 
Kama ndivyo hivyo basi zile pesa za El Nino tugawane wananchi wote.
 
Sifunguagi link za member wa JF ๐Ÿ˜น
Mi najua kizungu sijui kidhungu..!!

Sasa mbona TMA waliotoa taarifa na ndo wanaokanusha? Na wewe tena umeibuka na vitisho vya miaka hiyo ambayo wengine hizo mvua hatukuziona..!!

Em tusubiri zije kama zinakuja tushuhudie..!!
 
Sifunguagi link za member wa JF ๐Ÿ˜น
Safi, ukigoogle pia utapata maandiko ya wikipedia, page za UN na sources nyingine za kuamiinika, kasome huko.

Sasa mbona TMA waliotoa taarifa na ndo wanaokanusha?
Hapa wamedadavua tu na ni kweli El nino siyo mvua (ni kuongezeka kwa joto baharini ambapo kunaweza kuleta maafa mbalimbali ikiwemo mvua kali, vimbunga, moto kwenye misitu n.k)

Mimi sijaona wala kusikia walipokanusha.

Na wewe tena umeibuka na vitishovya miaka hiyo ambayo wengine hizo mvua hatukuziona..!!
Siyo vitisho ni experience ya kile kilichotokea miaka hiyo, haimaanishi na mwaka huu itatokea hivyo hivyo ila tuchukue tahadhari.

Em tusubiri zije kama zinakuja tushuhudie..!!
Sawa, ujiandae tu, kariakoo ikijaa maji mwezi mzima uwe na plan B ๐Ÿ˜‚
 
Plan B niolewe kabla haijafika niwe namuwinga mume..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Kwa hiyo Serikali na TMA hakuna mawasiriano hadi iamue kutenga bajeti ya bilioni 700 na point kwa ajili ya mvua ya El nino? Au tunaanza kuchezeana kwa kutuona watanzania na wapumbavu? Serikali ijitokeze itueleze sisi wananchi lengo lao hasa lilikuwa lipi na taarifa ya uwepo wa mvua ya El nino waliitoa wapi kama mamlaka inayohusika inasema haijawahi kutangaza uwepo wa El nino.
 
Wamezua taharuki na kusababisha hasara, wakiwa raia watiifu wa JMT wameutisha UMMA na ukatishika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ