nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
........ Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na mimiWeka picha
Sawa.Hapana mkuu watu wote sio wanawake tu
Sisi tunastahiliNi kweli,kama wanaume mkuu
Sawasawa 🤣Sisi tunastahili
Kwa hasira hizi inaonekana tatizo sio mwanamke kuwa na pesa ila, natito ni wewe kuwa na inferiority ilio pekekea kuto kujiamini......... Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
Mwanaume anayeogopa mwanamke mwenye pesa ni masikini, mwanaume mwenye pesa anapenda akiona mwanamke wake naye akiwa na pesa.
Until akupende yeye mwenyewe, else tarahia maumivu. Or uwe na pesa zaidi yake........ Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
kuna watu wanachekesha sana sasa mke akiwa na pesa unaona nini nongwa naona ni akili za kimasikini ndio shida hapoNi kweli,kama wanaume mkuu
Hivi kwanini wanapenda sana Miujiza?Mwanamke pesa ikimtembelea, mwendo wa kutembea unabadilika, maongezi mengi yana Yes na No, just imagine! Hata kama hajaenda shule kiingereza kinatafunwa tu! Waganga na wachungaji wanakula sana pesa zao.
Na Hata akupende akikuchoka tu umekwishaUntil akupende yeye mwenyewe, else tarahia maumivu. Or uwe na pesa zaidi yake
Weka picha