To be honest, pesa zinawapa kiburi sana wanawake

To be honest, pesa zinawapa kiburi sana wanawake

Mwanaume anayeogopa mwanamke mwenye pesa ni masikini, mwanaume mwenye pesa anapenda akiona mwanamke wake naye akiwa na pesa.
Wanawake hawajui kuyaishi mafanikio!
Me wote Duniani hutafuta maisha ili kuwaweka watu pamoja na kuwaongoza lakini Ke hutafuta ili ajitenge na kuwafukuza wengine abaki na cycle ya wachache sana!
 
........ Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
Tena anayoitafuta mwenyewe kwa juhudi zake..aah, kwanini nisijidai? Kwanini nijipunguze ili 'me asijisikie kupwaya. Hapana, asante ndugu mdau wacha tujidai
 
Back
Top Bottom