To be honest, pesa zinawapa kiburi sana wanawake

To be honest, pesa zinawapa kiburi sana wanawake

Mwanamke asimzidi pesa Mwanaume. Hakuna Mwanaume anayejitambua, anayependa kuwa na Mwanamke mwenye pesa kumzidi. Hii ndiyo point hasa ya mtoa mada.
Upendo husitiri wingi wa dhambi,ukimpata mwanamke aliyekupenda mwenyewe kuna mengi utayaona tofauti...
 
Mwanaume anayeogopa mwanamke mwenye pesa ni masikini, mwanaume mwenye pesa anapenda akiona mwanamke wake naye akiwa na pesa.
Kusema za Ukweli, mwanamke tegemezi ni shida tupu. Wanaume wanaolalamikia mwanamke mwenye nazo, ni wale tegemezi. Unatafuta naye anatafuta ndiyo maisha
 
Back
Top Bottom