nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #61
OkPole Sana 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkPole Sana 😁
Atakua yupo singleWanawake ni maradufu kuliko wanaume acha tu omba usimuliwe hivyo hivyo
Wanasahau kabisa hata maumbile yaoOgopa hao viumbe mpaka vitabu vya dini vinatambua urafiki wao na shetani, kwa hio sishangai nikiambiwa wakiwa na pesa wanageuka kua asili yao
UKIMPA KIPAUMBELE NA KUMPA KIPAUMBELE ZAIDI YAKO ATAKUACHA........ Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
Ni kweli kabisaunajua kwenye haya maisha unapaswa utizame wewe una malengo gani na usipagawe na mitikasi ya mwengine mke akiwa na pesa wewe kuza za kwako shida iko wapi amini nakwambia wala hutoona hiyo dosari ya dharau ndani yake
Aisee we jamaaUKIMPA KIPAUMBELE NA KUMPA KIPAUMBELE ZAIDI YAKO ATAKUACHA
Kwanini atakuacha? ni swali rahisi sana, atakuacha kwa sababu matamanio ya mwanamke yapo kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu kuanzia umri, hela, elimu, mali n.k
Mwanamke ni mbinafsi, katika mahusiano anataka apate faida kwa maana iyo akitulia na mwanaume ambae wanalingana au amemzidi maana yake uwiano wa kutoa na kupokea hautatofautiana sana, na iyo ndio biashara ambayo mwanamke hataki hata kuisikia, anataka balance sheet isome profit upande wake.
Utakapompa kipaumbele na kumuwezesha mwanamke zaidi yako ataanza kuona anafanya favor ku-date na wewe, atakuona wewe ni dhaifu kwake na ataanza kutafuta mwanaume mwingine ambae amemzidi kila kitu na kwa wakati huo mwanaume uyo sio wewe tena.
Unatakiwa kuelewa kwa mwanamke mapenzi ni biashara, nguzo ya mapenzi kwa mwanamke ni material and monetary benefits anazozipata kutoka kwako, kwaiyo kama upo chini yake maana yake hautaweza kumtimizia gharama za mahitaji yake ambayo hawezi kujitimizia yeye mwenyewe.
Kabla ya kumuwezesha mwanamke akikisha umejiwezesha wewe mwenyewe mara 10 zaidi. Ukimpa elfu 10 akikisha umebakiwa na laki moja kwa ajiri yako, ukimnunulia ist akikisha uwe unatumia range rover. Tena iyo ist usisahau kuandika jina lako kwenye kadi, akizingua unachukua gari lako.
Wanawake wa kisasa wapo kwenye msako mkali sana wa kutafuta wanaume mafala (wenyewe wanawaita GENTLEMEN) wa kuwatumia kama ngazi ya mafanikio na kuwaacha wakishatimiza lengo lao. When you hear a woman say she want a gentleman that's means she want a weak, idiot and wealth man.
Wema wake wa sasa usikupumbaze inawezekana ikiwa mbinu tu kwa sababu bado hajapata anachokitaka, mpango wake aliopanga kuufanikisha kupitia wewe bado haujakamilika, when she accomplish her mission in that relationship you will learn the hard way
Ninachokufundisha hapa hautafundishwa shuleni, hautafundishwa na wazazi wala marafiki.
Learn or perish.

UKIMPA KIPAUMBELE NA KUMPA KIPAUMBELE ZAIDI YAKO ATAKUACHA

Kichwa kama hiki, unahisi kitatulia kikipata pesa?heee[emoji53], so ni vibaya mwanamke kua na pesa? hivi nyie wanaume mna nini un your mindsets?[emoji34] cas hampendi kuambiwa ukweli na kurejebishwa thats why mnapenda mwanamke wa kumuendesha unavotaka, mtukome[emoji34]
Sio wanawake tu hata wanaume, pesa ina jeuri jomba acha kabisa hasa kama hujakua nayo.
Shida sio pesa za mwana mke. Shida ni actions za mwana mke akiwa na pesa.kuna watu wanachekesha sana sasa mke akiwa na pesa unaona nini nongwa naona ni akili za kimasikini ndio shida hapo
Kaka umeandika madini sana.UKIMPA KIPAUMBELE NA KUMPA KIPAUMBELE ZAIDI YAKO ATAKUACHA
Kwanini atakuacha? ni swali rahisi sana, atakuacha kwa sababu matamanio ya mwanamke yapo kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu kuanzia umri, hela, elimu, mali n.k
Mwanamke ni mbinafsi, katika mahusiano anataka apate faida kwa maana iyo akitulia na mwanaume ambae wanalingana au amemzidi maana yake uwiano wa kutoa na kupokea hautatofautiana sana, na iyo ndio biashara ambayo mwanamke hataki hata kuisikia, anataka balance sheet isome profit upande wake.
Utakapompa kipaumbele na kumuwezesha mwanamke zaidi yako ataanza kuona anafanya favor ku-date na wewe, atakuona wewe ni dhaifu kwake na ataanza kutafuta mwanaume mwingine ambae amemzidi kila kitu na kwa wakati huo mwanaume uyo sio wewe tena.
Unatakiwa kuelewa kwa mwanamke mapenzi ni biashara, nguzo ya mapenzi kwa mwanamke ni material and monetary benefits anazozipata kutoka kwako, kwaiyo kama upo chini yake maana yake hautaweza kumtimizia gharama za mahitaji yake ambayo hawezi kujitimizia yeye mwenyewe.
Kabla ya kumuwezesha mwanamke akikisha umejiwezesha wewe mwenyewe mara 10 zaidi. Ukimpa elfu 10 akikisha umebakiwa na laki moja kwa ajiri yako, ukimnunulia ist akikisha uwe unatumia range rover. Tena iyo ist usisahau kuandika jina lako kwenye kadi, akizingua unachukua gari lako.
Wanawake wa kisasa wapo kwenye msako mkali sana wa kutafuta wanaume mafala (wenyewe wanawaita GENTLEMEN) wa kuwatumia kama ngazi ya mafanikio na kuwaacha wakishatimiza lengo lao. When you hear a woman say she want a gentleman that's means she want a weak, idiot and wealth man.
Wema wake wa sasa usikupumbaze inawezekana ikiwa mbinu tu kwa sababu bado hajapata anachokitaka, mpango wake aliopanga kuufanikisha kupitia wewe bado haujakamilika, when she accomplish her mission in that relationship you will learn the hard way
Ninachokufundisha hapa hautafundishwa shuleni, hautafundishwa na wazazi wala marafiki.
Learn or perish.
PoaMambo bebe
HahahaKaka umeandika madini sana.
Watu jifunzeni sana hili andiko.
Ni ngumu kumeza kama Bado hajakutokea, ila tahadhari ni muhimu sana.
Mwana mke usimpe kipaumbele katika maisha Yako.
Ukimuoa, hakikisha amekula, amelala, amevaa. Usijenge uwiano kati Yako na yeye. Never, ever.
HahahaShida sio pesa za mwana mke. Shida ni actions za mwana mke akiwa na pesa.
Ki kawaida katika vitabu vya dini na utamaduni wa mwafrika, mwana mke ni mtii Kwa mumewe.
Sasa huyo mwana mke anapopata pesa kukuzidi wewe, huo utii unapotea. Haki sawa zinaanza na mambo mengine mengine ya kishenzi.
Kifupi, amani ya ndoa inapotea. Ndoa inakua Haina maana Tena.
Lakini sio awe na Pesa kumzidi yeye tena.Mwanaume anayeogopa mwanamke mwenye pesa ni masikini, mwanaume mwenye pesa anapenda akiona mwanamke wake naye akiwa na pesa.