Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwani lazima?........ Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lazima?........ Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
heee[emoji53], so ni vibaya mwanamke kua na pesa? hivi nyie wanaume mna nini in your mindsets?[emoji34] cas hampendi kuambiwa ukweli na kurekebishwa thats why mnapenda mwanamke wa kumuendesha unavotaka, mtukome[emoji34]........ Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
Nikioa nitampa Mwanamke asilimia 50 ya hela nilio nayo tuone nani atakayekuwa jeuri 😃😃😃Hata wanaume zinawapa sana jeuri.
Kwa sababu kuna vitu hawawezi kuvinunua kwa pesa?Hivi kwanini wanapenda sana Miujiza?
🤣🤣🤣Hata wanaume wenye pesa wana viburi sanaaa
Nikipata pesa naoa............. Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
Nipigie Mwanangu 🤣🤣🤣Nikipata pesa naoa.....
wateja wa mwamposa na gwajimaHivi kwanini wanapenda sana Miujiza?
Ntakupigiaaa nimebeba mtungi wa gasNipigie Mwanangu 🤣🤣🤣
unajua kwenye haya maisha unapaswa utizame wewe una malengo gani na usipagawe na mitikasi ya mwengine mke akiwa na pesa wewe kuza za kwako shida iko wapi amini nakwambia wala hutoona hiyo dosari ya dharau ndani yakeHapana,ni maoni yake tu na ndiyo maana nimemkumbusha kuwa na wanaume vivyohivyo
Shetani alichukua pointi 3 akapiga harttrick kabisaHivi kwanini wanapenda sana Miujiza?
Ogopa hao viumbe mpaka vitabu vya dini vinatambua urafiki wao na shetani, kwa hio sishangai nikiambiwa wakiwa na pesa wanageuka kua asili yaounajua kwenye haya maisha unapaswa utizame wewe una malengo gani na usipagawe na mitikasi ya mwengine mke akiwa na pesa wewe kuza za kwako shida iko wapi amini nakwambia wala hutoona hiyo dosari ya dharau ndani yake
Wanawake ni maradufu kuliko wanaume acha tu omba usimuliwe hivyo hivyoSio wanawake tu hata wanaume, pesa ina jeuri jomba acha kabisa hasa kama hujakua nayo.
Mambo bebe
Pole ya nini wewe mchumba wa popobawa?Pole Sana 😁
Utapigwa vidole sio kila unaemuina ni bebe punguzaMambo bebe