To be honest, pesa zinawapa kiburi sana wanawake

To be honest, pesa zinawapa kiburi sana wanawake

Ndo mana nakubali sana ushauri kwa vijana kukataa ndoa.......Ndoa ni mateso
 
Wala usimjali iwapo hayo mafanikio haya- deserve atashuka chini muda si mrefu .
Ishu sio kupata Hela ishu ni kuendelea kuzalisha na kuendelea kuw ana Hela mfululizo

Quick success builds ego but slow success builds character
 
Humu JF wanawake wachawi ndio viburi,
Vikifuga vimsukule kwenye mageto yao vinaona maisha ndio yao.

Hii forum imejaa vibwengo, unakatongoza PM kiutani, kumbe ni Ka kibwengo, Unaamka asubuhi umerambishwa K.
 
Mwanaume anayeogopa mwanamke mwenye pesa ni masikini, mwanaume mwenye pesa anapenda akiona mwanamke wake naye akiwa na pesa.
cha muhimu let respect and love remain constant...
 
Back
Top Bottom