Sax JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 3,578 Reaction score 6,740 Oct 22, 2024 #101 Huduma Pendwa said: Mwanamke asimzidi pesa Mwanaume. Hakuna Mwanaume anayejitambua, anayependa kuwa na Mwanamke mwenye pesa kumzidi. Hii ndiyo point hasa ya mtoa mada. Click to expand... Upendo husitiri wingi wa dhambi,ukimpata mwanamke aliyekupenda mwenyewe kuna mengi utayaona tofauti...
Huduma Pendwa said: Mwanamke asimzidi pesa Mwanaume. Hakuna Mwanaume anayejitambua, anayependa kuwa na Mwanamke mwenye pesa kumzidi. Hii ndiyo point hasa ya mtoa mada. Click to expand... Upendo husitiri wingi wa dhambi,ukimpata mwanamke aliyekupenda mwenyewe kuna mengi utayaona tofauti...
N njinjo JF-Expert Member Joined Feb 15, 2019 Posts 4,001 Reaction score 5,374 Oct 22, 2024 #102 Nifah said: Mwanaume anayeogopa mwanamke mwenye pesa ni masikini, mwanaume mwenye pesa anapenda akiona mwanamke wake naye akiwa na pesa. Click to expand... Kusema za Ukweli, mwanamke tegemezi ni shida tupu. Wanaume wanaolalamikia mwanamke mwenye nazo, ni wale tegemezi. Unatafuta naye anatafuta ndiyo maisha
Nifah said: Mwanaume anayeogopa mwanamke mwenye pesa ni masikini, mwanaume mwenye pesa anapenda akiona mwanamke wake naye akiwa na pesa. Click to expand... Kusema za Ukweli, mwanamke tegemezi ni shida tupu. Wanaume wanaolalamikia mwanamke mwenye nazo, ni wale tegemezi. Unatafuta naye anatafuta ndiyo maisha