To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

Uishi Maisha marefu mkuu
 
Swafi kabisa, Healthy life.

Washamba watakuona wewe ndio mshamba ilihali kamari, sigara au Pombe inawamaliza.
 
Nakazia hapa
 
Kupiga pucha ushawahi,kutembea na wake za watu ushawahi,umbeya,ufitini,uchoyo,ufirauni yote yanakuhusu,basi wewe ni fisi uliyejivisha ngozi ya mwanakondoo shameeeeee
 
Utakua mwanachama hai wa CHAPUTA. Mbona hukuligusia Hilo la CHAPUTA?
 
still life is fun lakin kuwa makini usije ukafanya ayo mambo uzeeni kwako.

kuna hatua ukiziruka kwenye maisha basi zitaforce zijurudie tu kwahiyo kuwa makini mno.
 
Enzi za miaka ya 80, huwezi kufika miaka ,30 bila kufika kwa wahaya.
Wazee wenzangu mnakumbuka
Livingstone
Kidongo chekundu
Morogoro/Bibi titi
Msasani
MWANANYAMALA
SUDAN
BUGURUNI
Manzese Beston
Manzese kwa mfuga mbwa
TBS Ubungo
 
Kasoro sigara tu,ila mengine tayariiii na mengine ya kutisha siwezi sema
 
still life is fun lakin kuwa makini usije ukafanya ayo mambo uzeeni kwako.

kuna hatua ukiziruka kwenye maisha basi zitaforce zijurudie tu kwahiyo kuwa makini mno.
Hii tunaita "post hoc phallacy" eti kwamba usipofanya hayo mambo ya kupoteza muda na mali ujanani utafanya uzeeni ? Kwa research ipi?
 
Hii kauli si ya kweli ni kujipa moyo tu
Ni ukweli mkuu, kuna mzee alikua hajawahi kubet sasa aliposikia matangazo kwenye radio akanifuata akaniambia kijana naomba unielekeze hii michezo wanayotangaza kwenye radio sijui Mchongo Pesa, nikamwambia Mzee sikiliza radio fuata maelekezo, kwa hio uzeeeni mkuu atabet tu, life is very simple wala haina papara pupa
 
Hii tunaita "post hoc phallacy" eti kwamba usipofanya hayo mambo ya kupoteza muda na mali ujanani utafanya uzeeni ? Kwa research ipi?
sijasema kama lazima uzeen uta do ayo mambo. ila nimekwmbaj kuwa makin sana kuna asilimia kubwa ukayafanya ayo mambo uzeeni kwako coz akili ya mzee ufanana kiasi fulan na ya mtotobna sifa ya mtoto upenda kujaribu kila kitu isipokuwa mara nyingi kuna mamb hayafanyi kwa sababu ya ulinzi na makatazo kutoka kwa watu wa karibu yake.
 
Nasoma Comment.

Ila tunafanana sana....!!!

Mi situmii kilevi chochote ila Huwa NAENDA Nightt club mala 5 kwa Mwaka.
 
Mj
Mjomba izo sio dhambi pekee zilizopo duniani, halafu orodhesha dhambi kutokana na amri kuu za mungu, na sijui lengo lako ni nini kuorodhesha ivyo, we mlokole nini maana ndo wanajikutaga wakamilifu
 

Ila unagongana kama chupa kwenye kreti 😁
 
Vipi kama anafanya kwa amri yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…