To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

Sasa umeshasema ni mzee unadhani enzi za ujana wake haya mambo yalikuwepo? 🤔 binafsi siamini kama eti usipofanya anasa ujanani utafanya uzeeni wapo wazee ndiyo wanaofanya hayo mambo .

Hawa ni wale ambao hawana aibu na unakuta kabisa ujanani anasa walifanya sana tu
 
unadhani enzi za ujana wake haya mambo yalikuwepo?
Mkuu emu rudia kusoma nilichokiandika alafu Jibu tena, kipindi cha Jackpot Bingo kilikua kinarushwa ITV, ulikua umezaliwa? Nisije nikawa nabishana na kinda wa 2012 au 2015 kwenda juu,

Tuanzie hapo,
 
Mi nimewahi namba moja tu,zingine niiteni mshamba ....poa tu
 
Namba Moja na Tano nimeshawahi fanya pombe nakunywa kwa mahesabu makali sana technically Sina Hela ya pombe[emoji1787] labda kama Kuna za bure.

Namba 2 na , 4 sijawahi fanya Wala sitegemei kufanya Leo Wala kesho Wala mtondogoo.

Namba tatu nilifanya mara 2 nilimpiga muhindi mara Moja akanipiga mara Moja siku interested sana nikaacha na shughuli za kubet maana siwezi poteza Hela yangu huku nikijua napoteza na sifaidiki na kitu Ina nipain sana Kila centi counts.

Hapo ungeoongezea kula mbususu aisee hio ni kama basic need[emoji1787]
 
sure
 
Je "Kumbato" ushawahi?
 
Hayo ni mambo ya kawaida mbona!!! Nikileta post yangu itakubidi ufute hii post.
 
Hasira zote za nini hizi??
 
Sawa St.sanali,tuambie uliyoyafanya positive katika umri huo maana Mimi nimeenda club,na nimecheza mziki, and still I am clean [emoji137][emoji137][emoji137]
 
Hongera sana ndugu. Mimi hadi leo sijafanya namba 1, 2 na 3. Mimi ni miongoni mwa watanzania wachache tuliojua ladha ya papuchi ukubwani. Mara ya kwanza kupewa tamu nilikua na 22yrs. Nakumbuka kuna jimama lilinitunuku. Lakini baada ya hapo nilijikuta nimenogewa na papuchi na kuzichakata haswa. Hadi nafika 30yrs nikajikuta nimechakata papuchi zisizo na idadi ambapo kama 75% wakiwa ni majimama. Wanafunzi huwa nakaa nao mbali sana.
 
kwahiyo unataka kusema hauna dhambi???
Hizo sio zambi pekee ila kuacha hayo nimeepuka miongoni mwa zambi,
Pia nimekua nikiishi maisha ya amani , kuna watu wanamaliza hela kwa waganga na wanaishi kwa hofu kila siku wanasema wanalogwa, mi naamini uchawi upo ila siamini kwamba kama nimetafuta kazi nikakosa basi kuna mtu kaniroga, na hata ikiwa hivyo, maombi kwa Mungu yananguvu zaidi kuliko kupeleka kuku akaliwe na mganga
 
Mkuu emu rudia kusoma nilichokiandika alafu Jibu tena, kipindi cha Jackpot Bingo kilikua kinarushwa ITV, ulikua umezaliwa? Nisije nikawa nabishana na kinda wa 2012 au 2015 kwenda juu,

Tuanzie hapo,
Wewe unatetea ujinga.
 
Reactions kwa huu uzi zinasema sana juu ya tabia zetu, hatuamini katika wema, kila mmoja ni muovu akipatikana mwema mmoja atavurutwa kwenye uovu, ataburuzwa kwenye matope atake asitake, tuchafuke pamoja, tufanane😀
 
Sawa St.sanali,tuambie uliyoyafanya positive katika umri huo maana Mimi nimeenda club,na nimecheza mziki, and still I am clean [emoji137][emoji137][emoji137]
Nikianza kuzungumzia niliyofanikiwa kuyafanya itakua kama bragging halafu pia sio makubwa sana,
Cha msingi ni kujua kua life can still be fun without those stuffs which are promoted as necessary and unescapable way to everyone
 
Good! Congratulations!
 
Hongera sana, vipi kuhusu watoto wazuri?
 
Ukiondoa no 4 mengine yote jaribu upate experience ya maisha kama kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…