To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

Nimekusoma Ni kinyume chake
 
kuna experience fulani hivi imekupita mkuu, ila kama una enjoy life yako, ni good pia
 
Hakika umenene vyema ndio maana umepata like s 33 had sas [emoji1787][emoji23]
 
Hakika
 
Umefanya vizuri kukaa mbali na wanafunzi! Je, ni wa chuo hao wanafunzi unaokaa nao mbali?
 
Mimi nimewahi kufanya vyote ila siyo kiviileeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nafikiri ungekuwa na sifa ya kutokufanya mapenzi au pengine kuwa na msichana mmoja muda wote huo, ungestand out kuliko hivyo ulivyotaja vyenye watu wengi ...
 
Ukiondoa no 4 mengine yote jaribu upate experience ya maisha kama kijana.
Kuwq kijana haimaanishi ufanye mambo ya kishenzi. Hata biblia imesema tumkumbuke Mungu wakati wa ujana. Ujana ukitumika vizuri hata jamii itapata mabadiliko. Ni kijana mpumbavu tu atakayeshauri ujanani tufanye ushenzi.
 
Wakolosai 1:13
Naye alituokoa katika nguvu za Giza,akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa mwana na pendo lake ,¹⁴ ambaye katika yeye tuna ukombozi,yaani msamaha wa dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…