TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

Mpare mpaka mimi ana niita gen z et😅

Unajua shida ya nyie Gen Z mkituona kaka zenu mmetuzidi urefu na ndevu basi mnaona tunalingana lakini ukweli ni kuwa Sisi hamtupati. Tumeshuhudia mambo ambayo mnayasoma kwenye historia vitabuni. 🤓
 
Unajua shida ya nyie Gen Z mkituona kaka zenu mmetuzidi urefu na ndevu basi mnaona tunalingana lakini ukweli ni kuwa Sisi hamtupati. Tumeshuhudia mambo ambayo mnayasoma kwenye historia vitabuni. 🤓
Huna hela na haunuzidi chocolate bwashee 😅
 
Huna hela na haunuzidi chocolate bwashee 😅

Ndio tatizo la Gen Z. Nikiwa na umri wako nilikuwa kijijini nawinda Kanga na mikengeri. Nyie dunia imefunguka.
Umejirekodi unacheza unapewa pesa.
Umerekodi unalia unapewa hela.
Umejirekodi umeachia ushuzi, hela.

Utaachaje kunizidi hela Bwashee.
Sisi kaka zenu tulishakubali wadogo zetu hatuwawezi kwenye hela.
 
Ukizidiwa hela hauna kitu bwashee 😅

😂😂😂 Sikatai.

Reference ni To anayejadiliwa hapa. Yeye anakimbizana na Ma lecture huko chuo wakati miaka hiyo wenzake tulikuwa tunasoma huku tunafanya biashara.

Unakosa hata pesa ya kujihudumia ule unawiri. Sasa wewe ni genius au utumbo
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Wachaga sisi ni walevi na walevi inaaminika niwatu wa hovyo , ikawaje tuwazidi😅😅😅😅
 
Wachaga sisi ni walevi na walevi inaaminika niwatu wa hovyo , ikawaje tuwazidi😅😅😅😅

Kwa sababu ya ushamba wa watanzania wengi.
Sisi jamii za Kaskazini wachaga wala hatuwachukulii serious Sana wachaga na sio role model kama makabila wengine wanavyosema,
Oneni wachaga. Angalieni wachaga.
Nyie endeleeni kuwa role model WA chasaka huko
 
Chegere alikimbia nini PCM/PGM na kwenda EGM?
😂😂😂😂😂
 
Mkiendelea kumchimba mtakutana na I'd yake ya zamani humu,
Itoshe kusema marehemu aliupiga mwingine sana enzi za uhai wake
 
Chegere alikimbia nini PCM/PGM na kwenda EGM?
😂😂😂😂😂
Kila mtu na malengo yake. Kwani physics na chemistry inaugumu gani. Sina shaka na uwezo wa Chegere sababu hata ukimpeleka Muhimbili leo aanze kusoma udokta atawabuluza wote wanaosoma pcb. Na sio yeye tu. Hata mm mwenyewe muda huu ukiniambia niende Muhimbili au coet pale UDSM nianze degree nyingine kabisa nawabuluza tu. Akili nikama mto tu. Ukipewa notes unawapelea moto.
 
Hata mtu anae sema mabaya ya marehemu nae ni kilaza unaweza kuta aliferi darasa la 4,

Bora hata huyu genius aliacha historia ya kubishana humu sasa wengine wanaacha comment Jf tu hapa

R.I.P E KIHONDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…