Ni shule zote na tuition centres alizopita alitengeneza bifu na walimu wenzie!!
"...huwezi kufaulu kwa kufundishwa na hao waliofeli".
"...Walimu nchi nzima wakae watunge maswali ya Physics wanayoona ni magumu sitokosa hata moja ,ila mimi nikitunga swali moja la Physics akalipatia hata mwalimu mmoja nchi nzima,nachoma vyeti vyangu".
Hizo ndiyo baadhi ya sumu za TO Kihombo!! 😁😁 Nafikiri hata nyuma ya ku-disco UD ni kuwaletea ufahari "mafaza".