100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Yawezekana ameacha alama kwa wanafunzi wengi, pengine wengine leo hii ndoto zao zimetimia, au wameajiriwa sehemu kwa sababu alikuwa msaada mkubwa either katika masomo aliyowafundisha ama ushauri.Kwani Nini atrend yeye tena akiwa mautini?
Mwamba alikua anashika chaki kama kopo la chooniYawezekana ameacha alama kwa wanafunzi wengi, pengine wengine leo hii ndoto zao zimetimia, au wameajiriwa sehemu kwa sababu alikuwa msaada mkubwa either katika masomo aliyowafundisha ama ushauri.
Kama alikuwa genius basi aliwafundisha wanafunzi wakaelewakwa kuzivunja concepts ngumu kwa urahisi sana tofauti na walimu wengi ambao wanakariri.
Yawezekana alikuwa chanzo kwa baadhi ya wanafunzi wakapenda masomo aliyofundisha.
Simfahamu lakini kwa wasifu wake inaelekea alikuwa genius kweli.
Kwanza wengi hawatoki huko, wanabaki huko huko.Shida ni kwamba wakitoka huko wanatumikaje kwa manufaa ya taifa?? Au ndio kugeuzwa machawa na wanasiasa...!
Dah 😭Madogo inabidi muwe mnatoa salamu kwa wakubwa zenu😀
Watu wanashindwa kutofautisha kati ya memory capacity na intelligent capacity😄Huyu jamaa alipeleka uzwazwa wa kumeza madesa kichwani akidhani elimu ya chuo ni kama sekondari ya kumeza na kutapika kwenye mtihani.
Anashangaa anaambiwa ajenge concept au aje alternative solution ya kitu fulani na aandike assignment si chini ya maneno 5000.
Hapo ndio palimchanganya na kushindwa elimu ya chuo
Watu wengine wanamind kwasababu jamaa alikuwa jeuri, Ila Mimi sijawah kugundua hiyo tabia, labda kwasababu nilisoma mda mchache kwenye kipindi chake. Ila tuheshimu watu wanaoitwa TOWatu wana wivu sana Mimi nakubali Kuna watu gifted hata kama perhaps hata ukiwa na mafanikio Ina bidii ukubali kua Kuna watu ni gifted
Nimesoma ma pathology , biochemistry, anatomy, microbiology na nk chuo kikuu, ila sikuona ugumu wake kama mapindi ya six 🤔Watu wanashindwa kutofautisha kati ya memory capacity na intelligent capacity😄
Sijawahi kusikia hii🤔Imagine TO anaita wanafunzi wake nyumbu,pimbi,kimangala etc tena tuition, what if angekuwa kwenye ajira si bakora za kufa mtu.
Nimesikia kule Same Boys aliwahi kupigwa na mavijana bila shaka ni haya mambo ya lugha chafu.
Yeah chuo hakuna kitu , tumepasua na ulevi na uzinzi wa kutosha bwashee , halafu mtu analinganisha na madude ya sixKule tatizo ni Muda, unatakiwa uwe na kichwa haswa😄
Kuna mwalimu mmoja alikuwa anasema anaongea kwa lafudhi ya kisukuma "This is next level" Sasa alivyokuwa anaitamka😄Yeah chuo hakuna kitu , tumepasua na ulevi na uzinzi wa kutosha bwashee , halafu mtu analinganisha na madude ya six
mitihani ilitungwa kufelisha tu kwa sababu shule na vyuo vilikuwa ni vichache havikuweza kuchukua wanafunzi wengiHapana miaka ya 2000 mpaka 2007 elimu ilikuwa ngumu sana.
Six na five ukikaza vizuri chuo unateleza huku ukilewa kidimbwi bwasheeKuna mwalimu mmoja alikuwa anasema anaongea kwa lafudhi ya kisukuma "This is next level" Sasa alivyokuwa anaitamka😄