Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

Inawezekana,, huyu Kuna muda alitupia picha yuko mashambani na mke wake na ni bonge pia kama sijakosea.
Ina maana mpaka anae lala nae uchi Hana akili????
Nasubiri wafukua makaburi watuletee ule uzi
Kwenye kuoa haruzingatii tako bali akili ya maisha aliyonayo mtu na hii akili ya maisha si ya darasani.

Hayo makalio na uzuri huwa tunaitafuta huko nje na tunapiga vile tunataka.
 
Sikumbuki lakini mwanamke alikuwa kwenye pikipiki kavaa jeansi suruali na koti la jeansi kuhusu kishundu sikumbuki lakini ni bonge white.
Huyo ni sister ni Lecture na PhD yake! Na hadi dk hii yuko huko ugaibuni anamwaga moto kama dragon ...hapo alikuwa anafanya research afungue shule yake maeneo X.
 
Ushahidi huo kutoka research ya marekani ,haya una lingine tuachie midude yetu, wewe hangaika na hiyo mifupa yako kama fisi
 

Attachments

  • Screenshot_20260410_103833_Chrome.jpg
    159.2 KB · Views: 21
Na mimi nataka ushahidi ni wapi hata hao wanawake wenye makalio madogo waliwai kuwa na akili... tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…