Miss Eagle
Member
- Mar 9, 2026
- 11
- 35
Wanaume saivi wamekuje sijuiKuna namna inafikirisha kila siku wanawake vile wanawake hivi, ifike wakati baadhi ya wanaume mlinde uanaume wenu kamili
Nyie ni bidhaa adimu lakini chaajabu imekuwa tofauti
Ukisema mwanamke vile mara hivi inapotezaje uanaume?Kuna namna inafikirisha kila siku wanawake vile wanawake hivi, ifike wakati baadhi ya wanaume mlinde uanaume wenu kamili
Nyie ni bidhaa adimu lakini chaajabu imekuwa tofauti
Inashangaza sana, tunaambiwa wanawake ni wengi kuliko wanaume lakini bado kila siku kuwasimulia wanawake mpaka thamani yao inashuka sasaWanaume saivi wamekuje sijui
Wanalalamika sana
Au ni hawa tu wa Jf
Sasa mwanaume makini kweli aanze mjadala wa matako kweliiii yani matako yakiwa hivi akili zipo yakiwa hivi akili hamna🤔Ukisema mwanamke vile mara hivi inapotezaje uanaume?
Watakuja kukupopoaInashangaza sana, tunaambiwa wanawake ni wengi kuliko wanaume lakini bado kila siku kuwasimulia wanawake mpaka thamani yao inashuka sasa
Sisi wanawake ndio ingetakiwa tuwaongelee kila siku maana ni kitu adimu ila loooh! Aibuuu aibuuu thamani ya mwanaume inashuka kila uchwao
Sawa tu lakini kuna vitu sioni umuhimu wake kabisa hasa kwa mwanaume maana jamii yetu wengi tunaamini mwanaume ni mtu special, kiongozi nk. Sasa kiongozi wa familia yupo busy kufananisha uwezo wa akili na matako kweliii🙌Watakuja kukupopoa
I
Kwani shida ipo wapi? Matako ni kiungo cha mwili , kama ulivyo mkono na pua, ukisoma kitabu cha wimbo ulio bora , kinadaiwa kimeandikwa na mfalme sulemani, kinawazungumzia wanawake na maumbile yao mwanzo mwisho , wewe ni nani useme hatupaswi kuwazungumzia wanawake?Sasa mwanaume makini kweli aanze mjadala wa matako kweliiii yani matako yakiwa hivi akili zipo yakiwa hivi akili hamna🤔
Kwanini unateseka sana ,una makalio makubwa?Sawa tu lakini kuna vitu sioni umuhimu wake kabisa hasa kwa mwanaume maana jamii yetu wengi tunaamini mwanaume ni mtu special, kiongozi nk. Sasa kiongozi wa familia yupo busy kufananisha uwezo wa akili na matako kweliii🙌
Sijakataa kuwazungumzia, nimetoa maoni yangu kuwa sioni umuhimu wa hayo, kuna mambo mnayakuza sana ni kinyume na uhalisia bhanaKwani shida ipo wapi? Matako ni kiungo cha mwili , kama ulivyo mkono na pua, ukisoma kitabu cha wimbo ulio bora , kinadaiwa kimeandikwa na mfalme sulemani, kwazungumzia wanawake na maumbile yao mwanzo mwisho , wewe ni nani useme hatupaswi kuwazungumzia wanawake?
Kazi ipo sema mada za humu sio za kuchukulia serious sanaSawa tu lakini kuna vitu sioni umuhimu wake kabisa hasa kwa mwanaume maana jamii yetu wengi tunaamini mwanaume ni mtu special, kiongozi nk. Sasa kiongozi wa familia yupo busy kufananisha uwezo wa akili na matako kweliii🙌
Kuyakuza kivipi yataje hayo mamboSijakataa kuwazungumzia, nimetoa maoni yangu kuwa sioni umuhimu wa hayo, kuna mambo mnayakuza sana ni kinyume na uhalisia bhana
Sijateseka kamwe haiwezi kuwa ila ifike mahali muongee ya kujenga kuhusu hao hao wanawakeKwanini unateseka sana ,una makalio makubwa?
Hakika maana wengi imekuwa sehemu ya kupunguzia stressKazi ipo sema mada za humu sio za kuchukulia serious sana
Kwa nini unahisi issues za maklio sio za kujenga ? Je kama tunasanuliwa jambo fulani?Sijateseka kamwe haiwezi kuwa ila ifike mahali muongee ya kujenga kuhusu hao hao wanawake
Naunga mkono hojaUpo sahihi, Mwanamke akipata attention kwa muonekano wake hua anarelax akili, anaona hahitaji kabisa kuumiza kichwa, hua anawaza azidi kuvimba, azidi kutembea uchi au azidi kua mweupe ili AONEKANE zaidi.
Ndo maana wanawake malaya wengi ni wazuri, wabaya ndo wanaumiza vicha na kufanya biashara za kuuza karanga juani ili apate 3000 maana kuuza mwili atakosa soko.
Sijawahi kuona mwanamke mwenye msambwanda akawa na akili timamu. HAKUNA
Kwenye Wimbo uliobora nilikuwa napendaga sana huu mstari.Kwani shida ipo wapi? Matako ni kiungo cha mwili , kama ulivyo mkono na pua, ukisoma kitabu cha wimbo ulio bora , kinadaiwa kimeandikwa na mfalme sulemani, kawazungumzia wanawake na maumbile yao mwanzo mwisho , wewe ni nani useme hatupaswi kuwazungumzia wanawake?
Haujaona ile ya ewe mpenzi wangu mwenye chuchu zimesimama kama merezi za LebanonKwenye Wimbo uliobora nilikuwa napendaga sana huu mstari.
Wimbo Ulio Bora 3:5
[5]Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu,
Kwa paa na kwa ayala wa porini,
Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha,
Hata yatakapoona vema yenyewe.
I charge you, O ye daughters of Jerusalem, by the roes, and by the hinds of the field, that ye stir not up, nor awake my love, till he please.
😀😀😀😀Jamaa linajua sana kusifia.Haujaona ile ya ewe mpenzi wangu mwenye chuchu zimesimama kama merezi za Lebanon