Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

Mkuu tuvumiliane tu. Lakini umekosea kunilanganisha na mtu aliye left group.nitake radhi mkuu
 
Vale Nafaka
 
Inawezekana,, huyu Kuna muda alitupia picha yuko mashambani na mke wake na ni bonge pia kama sijakosea.
Ina maana mpaka anae lala nae uchi Hana akili????
Nasubiri wafukua makaburi watuletee ule uzi
Ni bonge au ana kishundu?
Sikumbuki lakini mwanamke alikuwa kwenye pikipiki kavaa jeansi suruali na koti la jeansi kuhusu kishundu sikumbuki lakini ni bonge white.
Wakuu mnatunza risiti za watu kwenye archive.. hahahah!
Muda ukifika mnazitoa na kuwapa wenyewe 😀🙌🏾
 
Mkuu, unatumia akili nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…