Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

wewe ni ke au me
 
Unamaanisha nn mkuu📸💲🤾 au ni zile $8000
 
Angela kizigha..
Amefisadi hadi jeshi la polisi na serkali..
Bado anapewa na ubunge wa afrika mashariki + wa Ubunge wa taifa..
Hiyo ni akili tosha mastermind
 
Kama unaona hayo makalio sio muhimu, mbona tukipita na wapenzi wetu walioumbika hamuachi kuwatazama kutwa?

Juzi kijana mmoja acha amtupie mistari bibi yenu, eti huyo Mzee anakupa nini si uachane naye

Vijana oeni wake warembo, mambo ya kutamani mali za Babu zeni Mtakuja kushushwa mishipa 🤪

Hizo akili unazosema, nitajie binti yeyote mtanzania aliye flat screen ambaye amesoma mwenye PhDs/Profesa na mchango wake kwenye Jamii yetu ya Tanzania

Kwanini miaka 70 ya Uhuru bado tuna shida ya Maji hapa DSM
 
Babu umekataa unafki wazi wazi 😂
 
Akili ni kuwa Professor?? Wapo wengi mno wenye matako na kichwani zinachaji vibaya mno!!

Tembelea shule za wasichana zinazofanya vizuri kitaifa uongee na walimu wao!!
 
Leo nimepatikana asee. Sikutegemea uzi huu uwe mrefu hivi daah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…