Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
14kMzee baba battery ya T40 bei gani?
Zawadi ya muumba kwenu mabazazi.
Mimi sijawahi onaSisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.
Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumu sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako makubwa mwili mkubwa.
Hata darsani kwetu shule za kayumba sikupata kuona wala kushindwa na mdada wa aina hiyo tangia chekechea hadi basi.
Kama unao ushahidi tupatie ili tutoe dukuduku hili.
Ahsante
Kwenye hili Taifa tutajie wa3 tu mimi nakutajia walau wawili kwanza.
Ndalichako
Tibaijuka
dah haya bwana 😀Na huyu Tibaijuka alipokuwa anaitwa Kajumulo alikuwa na mzigo wa nguvu ambao kwasababu ya umri umefifia!!! Muulizeni Jakaya Kikwete alikuwa nae JKT operation TUMAINI!!!
🤣🤣 wewe ulikua angle ipi mkuu kumjua Mama Anna kwa jina la kajumulo, Operation Tumaini mwaka Gani ilikua. 🤔Na huyu Tibaijuka alipokuwa anaitwa Kajumulo alikuwa na mzigo wa nguvu ambao kwasababu ya umri umefifia!!! Muulizeni Jakaya Kikwete alikuwa nae JKT operation TUMAINI!!!
Sasa jitu lenyewe kiazi unategemea ukutane na wenye akili?Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.
Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumu sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako makubwa mwili mkubwa.
Hata darsani kwetu shule za kayumba sikupata kuona wala kushindwa na mdada wa aina hiyo tangia chekechea hadi basi.
Kama unao ushahidi tupatie ili tutoe dukuduku hili.
Ahsante
Tukiachana na cycle embu twende na hawa ambao ni famous. Tupo mfano wa profesor mwenye msambwandaTatizo cycle yako unakutana na viazi tu , fanya kuji update utakutana nao bwashee
Mtoa mada kaomba mfano🤣🤣🤣
Naamini wapo
Tuachane na cycle yake kwa sababu ganiTukiachana na cycle embu twende na hawa ambao ni famous. Tupo mfano wa profesor mwenye msambwanda
Umeeleweka mkuu. Sasa tupo mfano wa maprofesa wenye wezeleHao unaowaita hawana akili kwa sababu ya miili yao, ndio waliobeba maono ya familia zetu, kama mama yako ana shepu kubwa, utathubutu kusimama mbele yake na kumwambia hana akili kwa sababu ya umbo lake?
Kusema mwanamke mwenye shepu, au makalio makubwa hana akili ni kuwatukana wazazi wetu waliotulea kwa hekima kubwa, vipi ndani ya ukoo wako, unataka kutuaminisha dada zako na shangazi zako hawana akili kwa sababu tu wana makalio makubwa???
Nakuuliza hivi kwa sababu kwa Afrika, wanawake kuwa na makalio makubwa ni nature yao.
Kipimo cha akili ni title ya profesa. Ukubwa sa makalio kuanzia size ya kajala.Kabla hatujaendelea..
Naona ni vyema uki-define kwanza terms zifuatazo:-
Tukishapata hizo, hapo ndo itatupa jibu la swali lako kwa urahisi.
- "Akili" ni nini? unaipimaje? kipi kinafanya useme huyu anayo akili, yule hana akili.
- "Makalio makubwa" ni yapi? yapoje, measurements zipi?
Sabb "kalio" unaloliona wewe kuwa ni kubwa, kwa wengine linaweza kuwa dogo.
Unachoki-define wewe as "akili" kwa wengine kinaweza kisiwe akili.
So, tupe definitions zako ili tutoe maoni kwa kutumia hizo.
Naaaam.. Ukishawatafutia wanao mama bora. Unaenda nje sasa kutafuta wezele kwa ajiri ya burudani yako mwenyewe.Kwenye kuoa haruzingatii tako bali akili ya maisha aliyonayo mtu na hii akili ya maisha si ya darasani.
Hayo makalio na uzuri huwa tunaitafuta huko nje na tunapiga vile tunataka.