Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

Hujamaliza kumalizia hii hadithi vijana wa kiume/kike wanapofikia balehe lilth huwatokea katika ndoto

Vijana wa kiume huwaonyesha wakifanya tendo la jimai na Mwanamke mzuri sana (Succubuss) na kufyonza manii zao

Vijana wa kike huona wakifanya tendo la jimai na Mwanaume mzuri sana (Incubus) mpaka wanaingiziwa manii na huyo Mwanaume Shababi mwenye bonge la ndonga linalojua kusugua tupu yake vilivyo wakiwa usingizini

Na hivyo ndivyo lilth anavyojipatia watoto katika upande wake,
View attachment 2936875
so lilith ana mnemba navilevile anakipochi manyoya..?😃
 
Hadithi hizi za kiasili za maandishi ya zamani mara nyingi hutumika kuelezea masuala ya kijamii, kiutamaduni, au ya kisaikolojia, na hazipaswi kuchukuliwa kama ukweli wa kihistoria. Ni hadithi za kuburudisha au kufundisha, na haziingiliani na mafundisho rasmi ya dini.
Ni kama ile na zile za kina adriz mjingamimi Jagina hydroxo Mufti kuku The Infinity za mwanaume kupaka wanja na hina na jua kuzama kwenye dimbwi la tope jeusi?
 
Hujamaliza kumalizia hii hadithi vijana wa kiume/kike wanapofikia balehe lilth huwatokea katika ndoto

Vijana wa kiume huwaonyesha wakifanya tendo la jimai na Mwanamke mzuri sana (Succubuss) na kufyonza manii zao

Vijana wa kike huona wakifanya tendo la jimai na Mwanaume mzuri sana (Incubus) mpaka wanaingiziwa manii na huyo Mwanaume Shababi mwenye bonge la ndonga linalojua kusugua tupu yake vilivyo wakiwa usingizini

Na hivyo ndivyo lilth anavyojipatia watoto katika upande wake,
View attachment 2936875
Huyo Succubus na Inacubus hawawezi kufanyiana wenyewe ili wapate hao watoto?
 
Katika pita pita nimesoma hivo leo. Sio kwenye biblia.

Kwamba Adam alikua na mke wa kwanza anaitwa Lilith ambae nae aliumbwa na Mungu kwa udongo. Sio kutolewa mbavuni kwa Adam.

Ila Adam alivotaka kumdominate Lilith, uyu sista akawa kiburi akakataa kutawaliwa. Wakagombana.

Pia pengine walisema chanzo cha ugomvi ni Lilith kutaka kua on top wakati wa sex, na anasema kabisa ni haki yake. Mambo ya 50/50 hayajaanza leo na mwisho wake wakashindwana.

Hapo ndio Eve akatokea.

Mwenye nyama ataongezea. Elimu haina mwisho.
Unachosema ni kweli kabisa na waka hujakosea..
Na ninaweza kuthibitisha hilo na ndo maana waliitwa Adam (Lilith na Adam walikuwa na jina moja yaani Adam)
 
Huyo Succubus na Inacubus hawawezi kufanyiana wenyewe ili wapate hao watoto?
Ni lilth in form of Succubus and Incubus in short she is a demon creature sababu alienda mapangoni akapigwa miti na Shetani himself yaan km Eva alivyoenda kupewa tunda ndivyo lilth alivyoenda kupigwa bomba na Mr Devil himself mpaka akamtoa Bikra baada ya hapo akaanza kumletea shida Adam, Ila Simulizi ya lilth ni ndefu na Ina maelezo tofauti tofauti yanayofundisha sana ingawa watu wengi hawaamini Ila ni ukweli ndani yake,
 
Sio waafrica ni Simulizi za Wayahudi na hayo ni mambo ya upande wa Imani nyeusi ndio yanafundisha hivyo kwa hio usipingane na Imani za watu kwenye Simulizi zao
nyie mmetia chumvi babu atakuwaje na mnemba na kipochi manyoya..😅
 
Ni lilth in form of Succubus and Incubus in short she is a demon creature sababu alienda mapangoni akapigwa miti na Shetani himself yaan km Eva alivyoenda kupewa tunda ndivyo lilth alivyoenda kupigwa bomba na Mr Devil himself mpaka akamtoa Bikra baada ya hapo akaanza kumletea shida Adam, Ila Simulizi ya lilth ni ndefu na Ina maelezo tofauti tofauti yanayofundisha sana ingawa watu wengi hawaamini Ila ni ukweli ndani yake,
Duh. Kwa hiyo Adam alikuwa hajamtoa Bikra?

Alikuwa mkewake kwa ajili ya Nini?
 
Back
Top Bottom