ππππ siyo kweli mimi wababa siwatakiSema hapa live tujue...isijekuwa mubabaπ
Sure mkuu ni ujinga ujinga tu !Sikuhizi Jf unaweza usiingie wiki nzima. siku ukiingia unakuta mada 300 ila zenye tija ni 3.
πππ
Aaah wapi, haya basi endelea na dogodogo wenzakoπππππ siyo kweli mimi wababa siwataki
Halafu nili sahau kukuuliza jambo kuhusu hili, nita kudokeza.Nimempita miaka 8
Mara zote Mume unatakiwa kumzidi mkeo kuanzia miaka 5
Mkilingana umri, itafikia wakati mwenzio anafika menopause wewe bado unataka
Walau ukimzidi miaka 7 ama 10 yeye akifika menopause na wewe Mwanaume, unakuta huna jambo
Hata nguvu za kuchepuka unakuwa huna
Hawa hawa ππ vijana wananifaa, Maana nikisema nidate wababa nitatembea na waume za watu sasaAaah wapi, haya basi endelea na dogodogo wenzakoπ
hongera
Hahaha.............sawa, nasubiri simu yakoHalafu nili sahau kukuuliza jambo kuhusu hili, nita kudokeza.
Hongera ya nini bob?,na why ume cheka au ndio sarcasm ehhππ¦hongera
Nita kupigia usijali mkuuHahaha.............sawa, nasubiri simu yako
SawaNita kupigia usijali mkuu
kumbe kuna shemeji aiseeHongera ya nini bob?,na why ume cheka au ndio sarcasm ehhππ¦
wewe wako si ume mzidi 6, basi msalimie huyo mshangazikumbe kuna shemeji aisee