Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Vise versa una 70 mie na 31Mimi nina miaka 29 halafu babe wangu SweetyCandy ana miaka 45!
Sitaki kuanza maisha kwa kuganga kwa kuendesha bodabodaSafi sana, naona umetega urithi.
Duuuh mimi nimemzidi miaka 20 yaan generation zetu ni tofautiKwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
Litutumwe acha uongoYeye 68 mimi 28. Ndio mke wangu wa ndoa
Ukimtia mimba ndio utajua kwamba huyo mwenye miaka 16 sio mali ya wazazi wake ila ni mali ya Serikali kwa hio Serikali itakutia ndani na utapigwa Mvua 30Kwa sheria ya nani?
SijaelewaMimi Nina miaka 30 ila yeye ana miaka 23 lakini kanizidi umri, mimi nimemzidi miaka.
Hapo vipi😊😊
WaambieNitarudi
Hiyo ilikuwa ni mwaka 47 bila shaka.Nimempita miaka 8
Mara zote Mume unatakiwa kumzidi mkeo kuanzia miaka 5
Mkilingana umri, itafikia wakati mwenzio anafika menopause wewe bado unataka
Walau ukimzidi miaka 7 ama 10 yeye akifika menopause na wewe Mwanaume, unakuta huna jambo
Hata nguvu za kuchepuka unakuwa huna
Umewai kusikia mtu mzima akiambiwa acha mambo ya kitoto,Sijaelewa
Kumbe we panya ni chalii sana uwe unatoa heshima nisijekupasua wakatoa heshima za mwisho
Ndio nimewahi mkuuUmewai kusikia mtu mzima akiambiwa acha mambo ya kitoto,
Au mtoto mdogo akiambiwa kwamba anapenda mambo ya kikubwa
Hawa watoto wa siku hizi miaka 16 si mwanafunzi hujui ni kosa kuwa na mahusiano na mtoto.Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??
Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
Sijui wewe,,.....
Amini kwamba wanawake wana huruma sana, hadi huyo boya anamiliki pisi 😂kumbe kuna shemeji aisee
Swadakta basi niseme umri ni dhana, miaka ni kipimo.Ndio nimewahi mkuu