What the CIA Doesn’t Do?Sheria ipi?weka hapa!
Hilo jibu linatosha kwa muuliza swaliFBI ni polisi aliyespecialize kwenye upelelezi , CIA ni usalama wa taifa
Mhmh!CIA Central Intelligence Agency
FBI Federal Bureau of Investigation
Akili za K VANT HIZIHabari chiefs,
Hope mko poa na mishemishe zinaenda. Niende kwenye topic moja Kwa moja, ningependa kufahamu nini tofauti iliyopo Kati ya hizo taasisi mbili za kiintelejensia zinazo operate ndani ya nchi moja. Utendaji, mamlaka na je zinawajibika kwenye idara au wizara tofauti?
No hayo tu karibuni wajuvi wa mambo..
Katiba ya nchi haikatazi lakini b'se haileti uchochezi wa kisiasaAkili za K VANT HIZI
Asante mkuuCIA ni mashushushu wa dunia,kazi zao ni za siri sana,hupanga mauaji ya kisiasa,covert operations,hukusanya taarifa za kiintelijensia za kiuchumi,kivita,kisiasa,wao uangaria maslahi ya marekani nje ya nchi,ni external intelligence agency,ni wasiojuriakana wa marekani,
FBI ni federal law enforcement agency,kama LAPD wanafanya kazi ndani ya mipaka ya LA,ikitokea tatizo Chicago,LAPD hawawezi kwenda,hawawezi kuvuka mipaka ya State yao,FBI wao wana weza kufanya kazi ndani ya state yoyote,
Ndani ya FBI kuna kitengo pia cha kuangalia internal intelligence,kama kuwakamata ma spy wa nje,au watu wanao Fanya ujasusi ndani ya USA.
Zipo pia agency zingine zenye kazi maalum,kama DEA drugs enforcement agency,border patrol,ATF,secret service,
Ndio maana ikaitwa forum, maana watu wanataka kuelewa au kueleweshwa , unachokiona uko vizuri kielezee tu huto pungukiwa na kitu, by the way kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti,Kila siku hizi thread zinaletwa hapa kwann msizitafute makajisomea mnajaza tu serve hapa
Zilisha jadiliwa hapa jf kwa undani zaidi, kuhusiana na FIB, CIA ni uvivu wa watu/mtu kuzitafuta hapa jf na kujisomea...Ndio maana ikaitwa forum, maana watu wanataka kuelewa au kueleweshwa , unachokiona uko vizuri kielezee tu huto pungukiwa na kitu, by the way kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti,
Sijui kwa nn nachukia huu msemo wa' mnahaza server'
Najua unachomaanisha , lakini watu tunatofautiana sana kuelewa , mfano mimi bado sijashiba na stories za kifo cha jf kennedy, nimesoma articles na vitabu kadhaa juu ya kifo chake na bado hata leo mtu akileta uzi wa kennedy nitapita kuchunguliaZilisha jadiliwa hapa jf kwa undani zaidi, kuhusiana na FIB, CIA ni uvivu wa watu/mtu kuzitafuta hapa jf na kujisomea...
NSA (National Security Agency) ni Usalama wa Taifa wa Marekani iko chini ya Wizara ya UlinziFBI ni polisi aliyespecialize kwenye upelelezi , CIA ni usalama wa taifa
We kwani hizi servers za shangazi ako au babaako kusema utakosa urithi? zimejadiliwa tumesoma si vyote vimeandikwa mle bado tumeendelea kupata mambo mapyaZilisha jadiliwa hapa jf kwa undani zaidi, kuhusiana na FIB, CIA ni uvivu wa watu/mtu kuzitafuta hapa jf na kujisomea...
penye mamba na kenge wapo.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NSA (National Security Agency) ni Usalama wa Taifa wa Marekani iko chini ya Wizara ya Ulinzi
CIA (Central Intelligence Agency) kazi yake ni kukusanya habari za kipelelezi nje ya Marekani,kuzitasmini halafu kumpelekea Raisi wa Marekani ili NSA(Usalama wa Taifa) wafanye uamuzi kuhusu nini wafanye kuhusu habari hizo,Kwa mantiki hiyo CIA ni majasusi wanaofanya kazi nje ya Marekani tu
(FBI) (The Federal Bureau of Investigation) inafanya kazi ndani ya Marekani kulinda sheria za nchi,kwaufupi FBI ni polisi wapelelezi kama hapa kwetu wale tunaowaita CID,Tafauti FBI na wapelelezi wengine wa Polisi ya Marekani ni kuwa FBI wanaweza kufanya kazi zao Majimbo yote ya Marekani
Hujui NSA wewe, NSA ndo inafanya kazi kubwa na ndo yenye bajeti kubwa, wale wanasikiliza hadi simu za marais wa nchi nyingine.Kiufupi organization/vyombo ambavyo ni usalama wa taifa wa nchi ya Marekani vipo kama vitatu hivi 1. CIA 2.NSA 3. Secret service
Ila ambao wanafanya kazi kubwa za ''kiusalama wa taifa'' ni CIA. CIA ndio ulinzi wa rais unategemea mafile yao, CIA ndio wanaoendesha Propaganda ambayo ni moja ya kazi kubwa za vyombo vya kijasusi
Hujui NSA wewe, NSA ndo inafanya kazi kubwa na ndo yenye bajeti kubwa, wale wanasikiliza hadi simu za marais wa nchi nyingine.
mbona umepanic mzee mwezanguKila siku hizi thread zinaletwa hapa kwann msizitafute makajisomea mnajaza tu serve hapa
ni polisi wa ngazi ya jitaifa kwa sababu wanaweza kukamata pia.FBI sio polisi ni kitengo kingine kinachojitegemea. Japokuwa mtu akiwa nq background ya kuwa polisi inakuwa rahis kuvhukuliwa.