Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

Kauli, msimamo na mtazamo mzuri juu ya wanawake...

Mfano: sio kila rafiki wa kike unatongoza, sio kila rafiki wa kike unamtolea kauli za kihuni, vijana wengi hufanya hivi.

Na wale ambao hawafanyi haya ndyo hujizolea ushawishi kutokana heshima yao kwa wanawake, wanawake wanajua watakuwa mahali salama endapo watakuwa pamoja.
 
Nimejifunza kitu hapo mkuu, kweli vijana wengi wanapoteza point muhimu kwa kauli zao.
 
Kujali,kumweka first before others

Mwili wa kiume kakamavu usio rojo

Mwanaume asiye mwongeaji au mjuaji sana

Mwanaume mwenye kupenda kweli kiasi kwamba anaweza kumtoa mpenziwe gizani na kumweka nuruni(I mean mwanaume anayeweza pambana kumrekebisha mpenziwe kitabia mpaka wakaendana badala ya kuhukumu na kukimbia)

Ila pesa ndiyo key point.....
 
Moderators mbona uzi umefutika,? Nini tatizo wakuu au kuna changamoto yeyote?
 
Back
Top Bottom