Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

1 pesa mkuu
2:- jinsi ya kuitumia hyo pesa katk kujenga ushawish wako
 
Kazi, cheo, wasifu, pesa nk vitamvuta mwanamke kwako kama strategic plan yake kujikinga dhidi ya njaa. Kama unataka kumvutia mwanamke kihisia sexy body, kimo kizuri na sauti ya kiume ndo silaha.
 
Kujali na kumpa mtu muda wako
Hakika hayo mambo mawili ni mhimu sana katika mahusiano yoyote yale,kama wote tungejua hayo tungedumu kwa mda mrefu katika mahusiano yetu,pesa si lolote bila kuzingatia hayo,,kumpa mda mwenzako ni kumsikiliza kwa umakini anachokueleza nakukitatua kwa haraka iwezekanavyo au hata ikichukua muda katika kutatua tumia lugha nzuuuri na laini ueleweke kwa mwenzako,lkn mwenzio anakwambia jambo we unaendelea na yako unaitikia tu mmmh mmh nakusikia,kumbe usikilizi unabonyeza tu rimoti,huko ni kutojali na kutompa mda mwenzako, inamaana hauko nae,ni hatari katika mahusiano
 
Kila mtu ana tastes na preferences zake ambazo zinavary kutoka kwa mtu moja Hadi kwa mwingine
 
Back
Top Bottom