Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

achana na wasifu, mapenzi ni hadidhi za kisanii tu, jua kuigiza fake life ifanane na ukweli!
Maigizo yana mwisho mkuu, pia nilisema wanawake wanao jitambua sio wenye tamaa za macho.
 
Mkuu naomba ufafanue kidogo hapo kwenye muda hasa kwa watu ambao hawana mahusiano bado, kwamba mwanaume akionesha kutoa muda wake inaweza ikawa sababu ya kujenga ushawishi kwa mwanamke?
Uwepo available kwajili yake sio uache kazi zako lakini jitahidi hata uwe na muda nae ukishindwa kabisa kuonana nae basi hata simu upige sio busy na kazi tu
 
Kujali,kumweka first before others

Mwili wa kiume kakamavu usio rojo


Mwanaume asiye mwongeaji au mjuaji sana

Mwanaume mwenye kupenda kweli kiasi kwamba anaweza kumtoa mpenziwe gizani na kumweka nuruni(I mean mwanaume anayeweza pambana kumrekebisha mpenziwe kitabia mpaka wakaendana badala ya kuhukumu na kukimbia)

Ila pesa ndiyo key point.....
Hii asipokupenda atakuita msumbufu
 
Gari Gari Gari,
Utanashati
Uhandsome
Aina ya marafiki wenye ushawahi
 
Back
Top Bottom