Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

Niliotaga nimenunua nyama mbichi mahala na nikaanza kula, ghafla kuna mtu akaja akiwa kama ananishangaa hivi, nikaanza kumtishia kwa kutaka atoke, nikatembea kuelekea duka lingine la urembo nikaanza kutazama wadada wakisukana (Something like that) 🙁🙁

Afu setting ni mjini kabisaa, yaaani daslam daslam hukoo
 
Bro mshana Mimi niliota nipo chumbani Mara akatokea tandu,wakati nataka kumuua Mara akatokea Bui Bui mkubwa,nikatoka sebuleni nikapiga kelele nikarudi kumua yule buibui ghafla wakatokea nge wawili na wanamabawa ndipo nikakimbia Tena sebuleni,mdogo wangu akaenda akawauwa wale nge Mara ghafla akatokea nyoka na hapo ndipo tukakimbia wote Lkn mim kila nilipokua nakimbia mtaani Kuna nyoka kibao wananifukuza!

ndipo ikaja daradara nikapanda ila nishaingia ndani ya gari nikaona na nyoka nae anaangaika kuingia kupitia chini ndipo nikapiga kelele kwa konda kumwambia Kuna nyoka lakini sio konda Wala abiria walionesha kujali na hapo ndo nukashtuka zangu usingizi!!naomba unifafanulie ndoto hi na ilikua saa nne asubuh
 
Ukinilipa deni Langu ntaacha kukusumbua na maajabu[emoji34]
 
Mhm uliimaliza?
 
Roho yako ilikuwa nje ya mwili kuivinjari dunia ikawa inakutana na misukosuko ya huko
 
Mmh kuna kipindi nilikuwa naotaga sana nakula nyama, tena mda mwingine nipo na marafiki zangu kabisa naowajua tunakula nyama ila naona saiv imepungua
 
Mhm uliimaliza?
Am not so sure, though nahisi sikuimaliza..... mana wakati yule mtu ananishangaa (nikawa namtishia kama namna nataka nipige kelele lakini sauti haitoki kwa kuzibwa na kipande cha nyama mdomoni), nilikuwa nimeshika kipande kingine

Ghafla nikajikuta tuu nimekaribia duka lenye vioo (dressing saloon) ndio nikawa nime gaze pale. 🙂
 
Safi kabisa
NAKUMBUKA SASA: baada ya kuwa namtishia yule mtu atoke karibu yangu, kulikuwa na kibanda kidogo nje ya lile jengo la saluni nilimkuta mtu pale, nikamwambia anipe package moja ya kufungasha mzigo wangu, akanipa kijifuko kimoja ambacho kabla ya kulala nilikuwa navitazama E-bay (packages) nikaiweka mule kisha nikasogea kueleka huko kwa hao walimbwende 😀
 
Habar samah naomba kupata ufafanuz wahii ndoto niliota tupo darasan mara ghafra akaingia mwanafunz mwenzetu Na gunia kalibeba mara ghafra akatoa nyoka wawili weusi mkubwa Na mdogo Ila ktk kuwatoa hao nyoka alikuwa anamlenga mtu mwingine Ila ghafra wale nyoka wakaanza kunifata mimi ktk kuwakwepa yule nyoka mdogo akaingia mdomoni kwangu nikaanza kuomba msaada kabla yule nyoka ajazama Ila niliyemuomba msamaadaa akanijibu bwana eeh me nimechoka akaondoka Na hatimae yule nyoka hajafanikiwa kuingia ndani kabisa ya tumbo langu hii ndoto nimeiota kama mwez sasa nasjapata jibu lake bdo inaniogopesha
 
Hapana huna haja ya kuogopa labda kama ingeendelea kujirudiarudia.. Sometimes ni ndoto za kawaida lakini inapojirudia ndio hapo sasa unaweza kuona kuna shida mahali

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…