Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

Habari mkuu je km unaota unatembea juu ya maji hii inamaa nagi!! new member
Katika hali ya kawaida haiwezekani ila kwa muujiza hivyo unapanga ama utafanya au unafikiria kufanya jambo ambalo wengi hawaliwezi
 
Mkuu nmeota nipo Na sahani ya wali na nyama ya kitimoto nikampa rafiki yangu ashike kwa sababu nilitaka kula nae na tulikuwa maeneo ya kwao lkn baadae nikakumbuka yeye ni muislam hivyo nikamwambia ni kitimoto akasema basi mimi nile tu basi nikala hii ina maana gani mkuu
 
Samahani mkuu hivi nani humuandikia binadamu kifo? Je huandikwa wakati gani?
 
Tafsiri ya kumpa asiyekula.... Ulipaswa kula wewe lakini ikawa kuna kikwazo... Lakini baadae kikaondolewa
 
Wanasema kuna habari njema au nzuri itakufikia
 
Kuna wakati naweza lala siku tatu had nne na nisiote chochote,na nnapopata ndoto huwa ntakiona hicho kitu ama nihisi nilishakiona mahali,
Ila kuna wakati nilifululiza kuota na kuona yakitoke na niliwaeleza wahusika nilichokiota na walikiri ni ya kweli.

Nashindwa kuelewa kwanini inakua hivi kuna wakati naota na wakati mwingine sioti, na sio kwamba nasahau ndoto lah, huwa sina kumbukumbu yoyote ya kuwa niliota'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia
Jr[emoji769]
 
Mkuu Mshana je Ukiota Unatembea Mpekuo Usiku Saana Alafu Ukishtuka kumekucha unaskia Aibuuu Pia Niliota Nakula Nyeti za Shemeji yangu Kanisimamia Eti Nakula huku Nimekunja Saana Sura Pia Niliota huyo huyo Shemeji yangu Kanipakiza Kwenye Gari Ananikimbiza Porini Nikapiga kelele za Kuomba Msaada Huyo Shemeji yangu Uwa Hanipend Saana Ndo Kabakia kwenye Familia Ntashukuru Kwa Hayo Majibu Mkuu Wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh hana shughuli za kishirikina kweli?
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…