rajab mush
Member
- Aug 18, 2019
- 30
- 20
Habari mkuu je km unaota unatembea juu ya maji hii inamaa nagi!! new member
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
oh,,,,hapo nimekuulewa mkuu!Katika hali ya kawaida haiwezekani ila kwa muujiza hivyo unapanga ama utafanya au unafikiria kufanya jambo ambalo wengi hawaliwezi
Samahani sana mkuu Mshana yupo busy kwasasa ngoja nimsaidie kujibu.
Suala la kuepuka kufa hilo haliwezekani hata kidogo, ukiandikia kufa Tanzania unakufa hata kama utakua Ulaya.
Naomba twende sawa hapa. "Kuna kuepuka ajali na kunusurika kufa". Huwa kwenye taarifa za habari wanatoa sana neno hili " KUNUSURIKA KUFA". Naomba muweke mawazo yenu kwamba hakuna ambae anaweza kukunusuru usife. Mwenye uwezo huo ni Mungu pekee. Kifo kikiandikwa kimeandikwa. Ila ajali ina kinga.
Tafsiri ya kumpa asiyekula.... Ulipaswa kula wewe lakini ikawa kuna kikwazo... Lakini baadae kikaondolewaMkuu nmeota nipo Na sahani ya wali na nyama ya kitimoto nikampa rafiki yangu ashike kwa sababu nilitaka kula nae na tulikuwa maeneo ya kwao lkn baadae nikakumbuka yeye ni muislam hivyo nikamwambia ni kitimoto akasema basi mimi nile tu basi nikala hii ina maana gani mkuu
Mshana Jr nipo nje ya mada yako....
Naomba unisaidie tafsiri ya jambo hili limenichanganya, toka usiku wa manane, jicho langu la Kulia, upande wa juu linacheza cheza sana, ambapo si kawaida yangu mzee, vipi tafsiri yake hapa yaweza kuwa ninini??
Maana sijielewi elewi na imekuwa too much.
Kuna wakati naweza lala siku tatu had nne na nisiote chochote,na nnapopata ndoto huwa ntakiona hicho kitu ama nihisi nilishakiona mahali,
Ila kuna wakati nilifululiza kuota na kuona yakitoke na niliwaeleza wahusika nilichokiota na walikiri ni ya kweli,
Nashindwa kuelewa kwanini inakua hivi kuna wakati naota na wakati mwingine sioti,na sio kwamba nasahau ndoto lah,huwa sina kumbukumbu yoyote ya kuwa niliota'
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mshana je Ukiota Unatembea Mpekuo Usiku Saana Alafu Ukishtuka kumekucha unaskia Aibuuu Pia Niliota Nakula Nyeti za Shemeji yangu Kanisimamia Eti Nakula huku Nimekunja Saana Sura Pia Niliota huyo huyo Shemeji yangu Kanipakiza Kwenye Gari Ananikimbiza Porini Nikapiga kelele za Kuomba Msaada Huyo Shemeji yangu Uwa Hanipend Saana Ndo Kabakia kwenye Familia Ntashukuru Kwa Hayo Majibu Mkuu Wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh hana shughuli za kishirikina kweli?
Jr[emoji769]
Nilikuwa tu Naomba Unitafsilie hasa Hiyo ya Kula Sehemu zake Za Siri Mpaka Leo Sijajua ni nini???