Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

Mshana nmeota ndoto usiku wa kuamkia leo
nilikua nmelala nikasikia sauti za nyumba ya jirani za kunong'ona mtu anagombana na mumewe ,lakini nikawa kama nasikilizishwa zile sauti na mtu yani kama naona maono...

muda huo huo nikarudi pale nilipolala lkn naota...
basi nikasikia sauti inanambia ww siulikua huamini huyumama fulani jirani yako ni mwanga haya ona sasa..
basi nikaona gafla kaujia mwili wangu anaupakaza na kunishika shika mambo hayaeleweki...

nikaongea nafsini kumwambia yule mtu nisiemuona, nifanyaje ili asinidhuru ,akanambia kurupuka.. hapo hapo nikakurupuka usingizini ... sikulala mpaka saa9
nilikurupuka mida ya saa7 kamili...

halafu mm pamoja na hio sauti tulikua tunazungumza nafsini lakini nasikia kwa nguvu tu kama mtu ananambia..

ina maana gani hii
 
hakuna sauti isiyo na maana kuna pando la adui limepandwa kwenye ulimwengu wa roho omba maombi haya Zaburi 69;13-18 na Efeso 1;17-23 kila siku
 
Mshana nmeota ndoto usiku wa kuamkia leo
nilikua nmelala nikasikia sauti za nyumba ya jirani za kunong'ona mtu anagombana na mumewe ,lakini nikawa kama nasikilizishwa zile sauti na mtu yani kama naona maono...

muda huo huo nikarudi pale nilipolala lkn naota...
basi nikasikia sauti inanambia ww siulikua huamini huyumama fulani jirani yako ni mwanga haya ona sasa..
basi nikaona gafla kaujia mwili wangu anaupakaza na kunishika shika mambo hayaeleweki...

nikaongea nafsini kumwambia yule mtu nisiemuona, nifanyaje ili asinidhuru ,akanambia kurupuka.. hapo hapo nikakurupuka usingizini ... sikulala mpaka saa9
nilikurupuka mida ya saa7 kamili...

halafu mm pamoja na hio sauti tulikua tunazungumza nafsini lakini nasikia kwa nguvu tu kama mtu ananambia..

ina maana gani hii
Haikuwa ndoto ya kawaida ni mchanganyiko wa maono uhalisia na mambo ya kichawi ,cheki kama itajirudia tena leo
 
inawezekana...
halafu nmekua nikijiepusha n mambo mengi ndotoni mara kwa mara kwa kubadili matukio ama kuyashinda majaribu yake
Tumia chumvi ama ndimu wakati wa kulala..chumvi ogea..ndimu nyunyiza
 
Kwa mfano mwanaume unaota unafanywa na wanaume wenzio huku ukiwa hujihusish na ushoga wala huna element ya ushoga..inamaana gani hiyo ndoto?
 
Sawa mkuu, mshana jr niliotaga, japo sidhani kama ni ndoto kweli.. ilikua hivi

Wakati najiandaa nipande kulala kitandani, huku sikuchukua muda nikaanza kusinzia ghafla nikawa nahisia fulani kama ya kuota ivi, lkn uhalisia wote wa kitanda changu naupata, nilihisi kama mnyama aina ya jaguar mweusi tii amekamatia kichwa kwa taya zake upande wa kichogoni huku, sasa katika harakati yakutaka kama kumtoa kwa mkono nikahisi kumwona tena mnyama nyoka nae kapanua mdomo akinikwarua mkono kwa meno yake vile vile na mnyama wa tatu simkumbuki vizuri ila ni kama ndege ivi naye alikua mweusi ivyo ivyo...

Nikastuka nikajisemea hii itakua labda ile hali kama ya kuhisi kunigwa na jinamizi, basi kwa hofu kidogo nikabadili upande kutoka kusho nilipokua nimeangalia kuelekea kulia...

Usingizi ukanibeba tena nikapata tena situation ile ile nikashtuka nikatikisa kichwa kujiweka sawa nikalala..

Sasa nashindwa kuelewa hii ni hali tuu ya mwili au ni ndoto na kuna maana flani nyuma yake...

Embu fanya mambo mtaalam nijue
 
Sometimes tunazingwa na situation kama hizo, jua hapo si ndoto bali ni mkusanyiko wa kundi la roho zinazotangatanga liko ziarani na sehemu ulipo limefanya kituo cha muda.

Vilevile ukiona hivyo jua siku hiyo kuna mkutano wa wachawi utafanyika mitaa hiyo
 
Sometimes tunazingwa na situation kama hizo, jua hapo si ndoto bali ni mkusanyiko wa kundi la roho zinazotangatanga liko ziarani na sehemu ulipo limefanya kituo cha muda
Vilevile ukiona hivyo jua siku hiyo kuna mkutano wa wachawi utafanyika mitaa hiyo

Na hili eneo kwakeli tangu nimefika nilikua nasikia sikia wenyeji wanakemea ktk maneno yao hutoa vijembe kwamba kuna jirani wa hapa anawachezea bla blah na vitu kama hivyo,

Kwahiyo mimi na husishwaje hapo mkuu kwa kuvutwa vutwa kama nilivo elezea hapo mwazo na hawa wanyama

Asante sana lkn..

Wacha nikumbuke na ngoto zingine nilizo wahi kuota zenye utata
 
Wewe huhusishwi na lolote lakini ni kama unapokuwa karibu na moto lazima upate joto lake
 
Ndugu [HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] wife kaniotea nimepata mihela mingi. Hii ndoto imekaaje. Natanguliza shukrani.

#nakwenda_zimbabwe
 
UKIOTA UPO SHULE YA MSINGI AU SEKONDARI AU UPO CHUO NA USHAMALIZA ROHO MTAKATIFU ANAKUAMBIA UWEZI KUVUKA MPAKA UITOE NAFSI YAKO HAPO
MARA NYINGI UHARIBIFU WA kiroho unatokea mashuleni sasa omba kuita nafsi yako kutoka hapo fanya haya maombi kila siku Zaburi 69;13-18 omba damu ya YESU IKULIPIE FIDIA MPAKA UTOKE HAPO
CHEK MAISHA YAKO YA UCHUMI UMEKWAMA LAZIMA unaishi chini ya kiwango chako
Kuitoa vipi nafsi, sijakuelewa kidogo mkuu fafanua kidogo nikupate
 
Back
Top Bottom