princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Mshana nmeota ndoto usiku wa kuamkia leo
nilikua nmelala nikasikia sauti za nyumba ya jirani za kunong'ona mtu anagombana na mumewe ,lakini nikawa kama nasikilizishwa zile sauti na mtu yani kama naona maono...
muda huo huo nikarudi pale nilipolala lkn naota...
basi nikasikia sauti inanambia ww siulikua huamini huyumama fulani jirani yako ni mwanga haya ona sasa..
basi nikaona gafla kaujia mwili wangu anaupakaza na kunishika shika mambo hayaeleweki...
nikaongea nafsini kumwambia yule mtu nisiemuona, nifanyaje ili asinidhuru ,akanambia kurupuka.. hapo hapo nikakurupuka usingizini ... sikulala mpaka saa9
nilikurupuka mida ya saa7 kamili...
halafu mm pamoja na hio sauti tulikua tunazungumza nafsini lakini nasikia kwa nguvu tu kama mtu ananambia..
ina maana gani hii