Tofauti ya Dini(Imani) ni ushahidi wa uhakika wa uwepo wa Mungu

Ndio tatizo la kuangalia documentary zilizo chini ya UNESCO,
Mkuu hizo sites zinaelezea juu juu tu na kusema zilijengwa na watu wa kale ila hawana ushahidi juu ya huo ujenzi lengo lao ni kuogopa kuwaambia watu ukweli ya kwamba Extraterrestrial Yaani Annunaki/Alliens Ndio walijenga accient civilization na hiyo imekua nyara na ni marafuku Kwa hizo chanel kueleza ukweli Toka zamani,ila kutokana na kukua Kwa science and technology Leo tunaweza pewa na watafiti binafsi majibu ya kina ya chunguzi na ukweli ukajulikana,
Hivi nikuulize Kitu Unajua kwanini UNESCO na genge lake waliwaaminisha watu ya kwamba Pyramids za Giza ni Makaburi ya Pharaohs na wakati Nicola Tesla innovation wa Umeme wa AC alikiri na kusema zile ni Plasma generator zilizotumika kuzalisha Umeme wa mionzi ambao Ulikua wireless na Ndio ilimsaidia kujenga magnetic tower Iliyofanana na mifumo ya Pyramids na akaahadi kusupply Umeme wireless Dunia nzima Tena Bure na Kwa bahati mbaya vilaza walimpinga na kumpiga Pini na mwishowe wakamchomea Maabara yake na mission ikawa failed
Unajua secret behind?

Tafuta maarifa Nje ya documentary uchwara kama hizo zinazotumika kama mamruki kuendelea kupotosha watu maana wanajua siku ukweli ukijulikana taasisi nyingi zitakufa kifo Cha mbwa mwizi hasa hasa Dini maana vitabu vyao vimewadanganya
Annunaki/Watchers /Angels
Walitoka mbinguni na ni Wana wa Mungu kumbe ukweli ni walikua Viumbe tu Tena Alliens na Ndio waliohisika kumtengeza modern human Yaani homo sapiens!
 
UNESCO ni Nani??. Je wafanyakazi wa UNESCO siyo binadamu mpaka wafiche miaka nenda ludi. UNESCO watapata hasara gani watu wakijua ukweri?.
Tesla nimeangalia documentary zake na kusoma history yake. Lakini yeye hakusema atangeneza wireless umeme Bali yeye alikuwa na theory ya A.C wakati mpinzani wake Thomas alikuwa D.C electricity. Sasa hizo habari za wireless umeme wewe umezitoa wapi?. Tesla ndiyo kaanzisha umeme wa maji Marekani kwa AC motor.
Mkuu sayansi is sayansi na dini ni dini pia siasa ni siasa. Nani anayeficha kweri ya Mambo???. Please toka inje ya box what you see now katika nyanja za sayansi ndiyo fikra zinapokoea kwa Sasa . Kikigundulika kingine lazima kijulikane.
We all know 250million Years ago kulikuwa na dinosaurs wakateketea kwa kimondo. Mbona 250million years ago tunavijua Leo vitu vya 40kBCE vifichwe???. Kweri???. Mkuu acha kweri itawale
 
umemsoma Tesla juu juu tu Wewe unadhani formula alizotumia kugundua Umeme wa AC alipata wapi kama sio kwenye tablets za wamisri?
Halafu kumbe hujajua project za Umeme wa magnetic field Ambazo zingekamilika angesambaza Umeme wireless Dunia nzima Tena Bure,
Pia kuhusu UNESCO wale ni watu wa kawaida tu walipewa kusimamia historical sites tu na waliofanya tafiti ni scientist mbali mbali na ndipo wakagundua Pyramids ni plants za kuzalisha Umeme hapo kale
Tafuta tafiti za Chris Dun & co uone matokeo ya tafiti zao!
 
Kwanini habari za Mungu Hadi ufundishwe?,
Kwanini Sasa hivi Mungu hajidhihirishi Tena kama zamani kwenye biblia?
 
Kwanini habari za Mungu Hadi ufundishwe?,
Kwanini Sasa hivi Mungu hajidhihirishi Tena kama zamani kwenye biblia?
Hili swali watalikimbia au la watakuja na majibu mepesi Kwa maswali magumu,
Ipo hivi jamii za kale zilipata kuwashuhudia MIUNGU live na ndio waliwapa ustaarabu
neno MIUNGU likiwa na maana ya "Masters of High Chamber" au unaweza kusema
"Being from sky" Kwa sababu hai MIUNGU Walishuka duniani kutokea angani hao ndio waanzilishi wa kuabudu viumbe kutoka Juu angani na nadharia za Dini zikazaliwa hapo,
Sasa ilikuaje?
Twende Kazi
Hao wanaodaiwa ni MIUNGU walikua Aliens waliokua advanced Katika science and technology waliendesha mawazo ya Juu ya Hisabati,Pysikia, biology na Elimu ngeni hasa kufungua dimensions,
Walikuja Kwa malengo mbali mbali kubwa sana ni kuchimba Dhahabu na ndio maana Katika accient civilization Dhahabu ilikua Ina umhimu sana mathalani watu wa Dini zote duniani waliwatolea deities wote Dhahabu kama sadaka
What secret about gold?
Dhahabu Ina Siri Gani Kiasi kwamba Toka kale kilionekana kama Kitu Cha thamani na jamii zote za kale kuihusudu
Pia jiulize Toka kale watu wanachimba Dhahabu Kwa maelfu ya miaka na hua inapotea tu ghafla na tunajua kabla ya science and technology tunavyoitumia kwenye divices za electronic wao waliitumia kwenye Nini na Leo tukijaribu kuchimbua mabaki ya sehemu na falme zilizojinasibu zilizalisha Dhahabu Kwa wingi hupati kamwe
Wapi zilipotelea?
Majibu yapo Dhahabu ilibebwa na viumbe kutoka anga za Juu na wakatokomea Nazo Kwa mamilioni ya Tani na tangu watoke hawajawahi Rudi Tena maana inadaiwa sayari Yao ni intelligence na baada ya kutoka watu wakatengeneza nadharia za Mungu wakiamini wale viumbe walikua malaika na mkuu wao alikua Mungu Hivyo humlilia shida zao wakiwa na matumaini anajibu maombi Yao na siku ya mwisho atawapeleka na wao wakaishi Maisha ya Raha Huko Mbinguni waliko,
Leo ukiwaambia watu ukweli Huu watakupinga sana ila ndio ukweli mchungu wanaamini vitu wasivyovijua na wanaovijua wanatumia kuwapiga wajinga wengi mbumbumbu

The secret agenda!
 
Kwanini habari za Mungu Hadi ufundishwe?,
Kwanini Sasa hivi Mungu hajidhihirishi Tena kama zamani kwenye biblia?
Mtu (Roho+Mwili) ndiyo maana watu wanapigana kutafuta asili. Ndiyo maana
Dumas the terrible anapambana kutafuta asili yetu kwa kufukua Juu ya Annuanak. Hii yote ni kutafuta asili yetu.

E bwana we Mungu alikuwa anajifunua ili tumufahamu. Sasa tushakwisha mfahamu . Mbona Annuanak Sasa hawapo Tena?. Mbona hawafanyi cloning Tena?. What happened???

Dumas the terrible
 
hahahaha Sasa wafanye cloning ya Nini wakati lengo lao washalimaliza na wakarudi kwao?
 
hahahaha Sasa wafanye cloning ya Nini wakati lengo lao washalimaliza na wakarudi kwao?
The same to God. Alianza kwa kazi yake kwa kumuita Abraham Kisha akamalizia kwa Mwanae Yesu kiristo.
Sasa wasiomwamini shauri yao.
But kwako Abraham unamutambua Kama Annuanak.

Jambo kuu ninalolifahamu ni kwamba kweri kunaviumbe vingine huko kwenye sayari zingine ama huko Anga may ndiyo hao Annuanak but all this are under control of Sir God through his own son Jesus Christ of Nazareth. Kama unaamini Cloning ya Annuanak long time ago before Jesus Christ come why you don't trust the miracles of Jesus?. Are they normal miracle ? Or just beyond humani capacity?
Hey work up.
Matendo ya Yesu ni ya juzi tu.
 
Hizi habari za annunaki nimezisikia Kwa mara ya kwanza hapa JF, kusema ukweli hizi habari zinafungua codes nyingi za biblia ambazo tunalimitiwa kuhoji tukiambiwa ni Imani
 
Hizi habari za annunaki nimezisikia Kwa mara ya kwanza hapa JF, kusema ukweli hizi habari zinafungua codes nyingi za biblia ambazo tunalimitiwa kuhoji tukiambiwa ni Imani
Yaaaa. Maisha yananyanja mbalimbali, wewe ukijua hiki yule anajua hiki
 

mkuu [mention]Dumas the terrible [/mention] unaweza kunisaidia kitabu chochote chenye ushahidi juu ya haya unayoyasema kama hutojali
 

Nimepata kusoma kitabu cha jasher ambacho biblia inakili uwepo wake na inakitumia kama moja ya vitabu mhimu kimezungumziwa kwenye Yoshua 10;13 na 2 Samweli 1;18

ukisoma sura ya 12;52;60 utaona jinsi mesapotamia ilivyokuwa imechanganyika na hawa viumbe wa anunak,

na niviumbe waliokuwa wakishilikiana kwa karibu na binadamu

sasa sijajua nini kilitokea mpka wakapotea?
 

Sit ya mbele kabisa usinisahau utakapo shusha nondo mkuu, sio kwamba naamini unachokisema ila nataka kuunganisha dot, na kile nachokijua mimi
 
So you mean to tell me mesopotania's civilization pre-dates kemet?
Ndio Mesopotamia ni old than Kemet Hilo linajulikana hata Katika tafiti Miji kama Eridu,Lagash,Sippur,Nipur,
Sharuppuk,Uruk na Ur ni Miji mikongwe iliyojengwa pre deluge
Baada ya deluge wakaja na new project Wakajenga Kemet baadae Jerusalem kama makao makuu ya ANNUNAK na hapo Master of high chamber Elohim aliposhuka na iliitwa city of GOD then baadae Ingeneer wa Kemet Ningshidza akaenda kujenga MesoAmerica na Ndio maana utaona designer ya pyramids za Giza na Mexico hasa Teotihuacan zimefanana na hapo pia walipaita city of GOD kama New project baada ya kupigana vita ya Nuclear pale middle east wakigombania madaraka kati ya watoto wa ENKI na ENLIL baada kuangamiza Miji mingi ya Mesopotamian na Indus valley hasa Sodom & Gomorrah,Nippur, Nineveh, Jericho,Mohanjo daro nk wakahamia Huko MesoAmerica na kujenga Miji mingi ya Maya na Aztec kama Machupichu, Teotihuacan nk na hapo ndipo ilikua mwisho wa project zao nyingi Sana na waliondokea hapo kurudi kwao Nibiru au Nephilim 12th Planet (Heaven)
Kama umeshawahi Sikia kisa Cha baadhi ya watu wa Jamii ya wamaya kutoweka na miungu Ndio hiyo ya Accient Human Yaani Annunaki/Aliens kurudi kwao baada ya maelfu ya miaka kuishi duniani tangu walipokuja

Pre human civilization!

Kuna habari nyingi Sana Juu ya Accient civilization zenye utata!
 
Mkuu hii story yako ya mesoptania kuwa ilikuwa civilised kabla ya kemet inapatikana kwenye source gani na mwandishi ni nani?
Inai-predate kemet kwa miaka mingapi..
Unajua kuwa giza pyramids sio pyramids za kwanza pale kemet?
Unamjua multi talented Imhotep and pharaoh Djoser?
 
Uwepo wa kila kitu unaonesha kuna nguvu iliotengeneza ila sio mungu wa kwenye vitabu vya dini ety wa kufanya kazi siku sita ya saba akapumzika wat about other planets ziliumbwa na mungu uyouyo au yupi maaan atujaona likitajwa ilo kwenye uumbaji

Kwahiyo solar system ilijitokea tu yenyewe? inakuwaje kuwe na viumbe vya aina mbili ke na me? vipi kuhusu hermaphrodite? kitu gani kiliselect ke na me na kipi kiliselect Hermaphrodite?
 
Mungu ni Alpha na Omega Mkuu.
hizo habari mlipata wapi na vipi kama ulimwengu na vyote navyo ni alpha na Omega,mnatumia reason Gani kumpa Huyo Mungu hiyo character huko mkikataa kuupa ulimwengu na kanuni ya kitu chochote Ili ki exist inategemea nguvu ya kitu kingine
Mfano Huu ulimwengu unashikiliwa na nguvu mbili zilizoungana yaani
hasi na Chanya
Ndipo matokeo yatokee Hii yenu imekaaje kaaje Kwa mfano?
 
Nini kilitokea Hadi wakatoeka ndiyo swali langu pia kwa jamaa yetu
 
mkuu [mention]Dumas the terrible [/mention] unaweza kunisaidia kitabu chochote chenye ushahidi juu ya haya unayoyasema kama hutojali
Mzee baba tafuta maandiko ya Zachariah sitchin mtafiti wa mambo kale na
Chris Dun aliyezifanyia tafiti pyramids za Giza pia Kuna Watafiti mbali mbali waliotafiti Pyramids za Mesoamerica,
Kama hutaelewa watafute
Credo Mutwa huyu alikua sangoma huko south Africa alipata kufungua code nyingi kuhusu kizazi Cha reptilians waliopata kuicolonize Accient civilization
Tafuta tafiti na documentary inaitwa Annunak Chronicles, book of dead na the Verne code Cha Jesus cedier pia Sumerian tablets zimemaliza utata wote,
Pia Soma conspiracy theories za Atlantis na Lemuria hapo Ndipo utajua Mwanafalsafa Plato Sio Mwendawazimu mpaka ataje Higher science and technology zilizotumika kale wakati Leo ndio tunazotumia alijuaje?
Hii Dunia Ina historia Kubwa mno kiasi kwamba sijui kwanini watu wengi Hawana ufahamu Aisee
Dunia mwanzo ilikaliwa na Viumbe kutoka space na walifanya mambo mengi Sana
Mathalani ANUNNAKI ndio watu au viumbe Ambao hawakua genre ya Homo sapiens kama tulivyo sisi na wao ndio waliofanya uumbaji wa modern human yaani Adapa/Adamu Ambao kimsingi ndio sisi wa Leo na ndio Maana wakaitwa Gods
(Being from sky/Extraterrestrial)
Note :Annunak ndio watu wa kwanza na walitoka space wakaja duniani wakawafanya Binadamu Kwa mfano wao Katika
Nephilim laboratory zao pale Eden/Aden katika mji wa Eridu Mesopotamia kati ya mto Euphrates na Tigris,
Nadhani Kuna Nadharia Fulani za Abrahamic Religion wanakueleza haya ila Sio in deep kama hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…