Akilihuru
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 1,512
- 2,980
- Thread starter
- #41
Yeap Ruby ni miongoni mwa wasanii wa kike ninaowakubali sana kwa sauti na uimbaji wao.Hapana sio kweli....msanii mwenye sauti nzuri na vocal Kali ni ruby na hata kwenye interviews nyingi walizofanya wasanii wengi wa kike walipoulizwa wote walikiri kuwa Kwa ruby hawaoni ndani...ruby anauwezo wa kuimba tunes ya chini kabisa ambayo wasanii wengine hawawezi kuifikia na anaimba tune ya juu (base) ambapo sio kitu Cha kawaita katika sauti...
Tatizo sauti yake huwa kali sana kiasi ya kwamba ni ngumu kuichuja ikachujika.