Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

Mara ya mwisho kwenda kanisani ilikua siku napata kipaimara. Baada ya pale sijawahi kwenda tena. Ilikua 2006.

Am I proud of it? No.

Am I at peace with my life? Yes.

Is it because I don't go to church? No.

Do I believe in God? Yes.

Do I believe in church? No.

In any other religion? No.
You believe in God and you don't want to worship him in church
 
UJINGA MZIGO.TATIZO WATU WAMEAMINISHWA UKIUMWA HUYO NI SHETANI NA WACHAWI NDIO WANAKUKWAMISHA.KUMBE HILI TAHIRA HALIISHI KWA MISINGI YA KIAFYA LINAKULA HOVYO,ANAKAA HOVYO ANATUMIA MAVYAKULA YA SUKARI, HALIFANYI MAZOEZI KESHO LINAPATA STROKE ANAENDA KUOMBEWA NA KUPIGWA SADAKA😄😄😄😄😬😬😬

JITU LINGINE LINALOMBANA HOVYOHOVYO KAMA MBUZI KISHA AKIPIGWA SHOTI ANAANZA KUSHINDA MAKANISANI😄😄😄 YOU DAMN FOOL, OWN YOUR F*CKING SHIT!!!.KUBALI UMEANGUKA AMKA MEZA DAWA ISHI KWA MASHARTI PIGA TIZI.WORK HARD TO PUT A MEAL ON THE TABLE.KUSHINDA KANISANI AU KUPAYUKA MAKELELE KILA JIONI NA ALFAJIRI HAKUWEZI KUBADILI STATUS YAKO.WEWE UMESHAATHIRIKA FOR GOOD!!!!NA SIKU ZAKO ZIKIFIKA UTAFUKIWA TU HAIJALISHI UNATAKA AU HUTAKI.

📌📌📌YAANI TUKIJIFUNZA KUOWN OUR STUPIDITY/FAILURES NA KUKUBALI KUBADILIKA WACHUNGAJI WATAKUFA NJAAA.
Hahaha


Hiyo yenye pin ndo ya kutulia mikazo
 
Tena wewe muda sio mrefu ndio itakuwa muhubiri mzuri, maana una chuki na maumivu ndani yako. Yani unaichukia wanaomtafuta kuliko watendaao maovu.
NdIo nahubiri injili ya kweli hapa.Au sauti haitoshi niongeze😄😄

Over my deadbody i can never join them fools!!!!

📌NIMETAKASIKA NA UJINGA WA KUAMINI VITU BILA MSINGI WA KUHOJI KWANZA.
 
Duh! Hivi mbona dini inahamasisha watu wafanye kazi? Biblia inasema asiyefanya kazi na asile, kwingine nitabriki kazi ya mikono yako. Ila wewe unavyoongea no kama vile watu wa dini hawafanyi kazi au chochote. Huo ni upotoshaji.
Mnatupigia makelele maknisa every where misikiti every where.

Kwenye hiyo mikusanyiko yenu mkifunga sound proof kama wafanyavyo watu wa club tusisikie makelele yenu mnapungukiwa nini.

Acheni ujinga hata kwa logic ya kawaida haihitaji elimu kubwa kama mungu yupo.Basi hawezi kuwajibu watu wapayukaji na wapiga makelele.

Huo ni ukosefu wa heshima kwa mtu au kitu unachokiheshimu unakiendea kwa unyenyekevu na adabu.Toeni utahira lasivyo, mnatakiwa muwahi mirembe!!!
 
Kwa hiyo wewe kufanikiwa baada ya kuacha kwenda kanisana kunathibitisha Mungu hayupo? Na labda nikuulize, unaweza kuweka ushahidi kuwa kwenda kanisani ndio ilikuwa inakuzuia kufanikiwa?

Kuna wapagani au baadhi ya watu wa Asia huko hawaamini katika Mungu na wanafanikiwa, au wazee wetu kabla ya dini kuja walifanikiwa pia kwenye shughuli zao hii utaileza vipi?

Kuna ya kujifunza kuwa tararibu za utafutaji mali zinajulikana, na zinaweza zisiwe na uhusiano wowote na dini na ndio maana viongozi wa dini hupata mapato kutoka kwa wafuasi wao.

Hivyo, ni vizuri kujua vizuri mawanda ya dini na suala la upatikanaji mali. Suala la pili na muhimu ni kuweza kutofautisha kwenda kwenye nyumba za ibada (religious) na ile hali ya kumtafuta Mungu ndani ya moyo wako na popote ulipo (spirituality). Mtu anaweza asiende kwenye nyumba za ibada na bado akawa na uhusiano mzuri na Mungu wake.
Sawa, basi huyo Mungu unaye mzungumzia sio mtu bali ni energy iliyopo nadi na nje yetu?
 
Back
Top Bottom