econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Yeye hamwamini Mungu kabisa, anadai hayupo.Ila zingati hapaView attachment 3692842
Yeye hamwamini Mungu kabisa, anadai hayupo.Ila zingati hapaView attachment 3692842
Duh! hilo Neno ni Nini? hapo chiniKumshukuru Mungu ambaye ni yupi, amekuoa nini direct?
Who manipulated you?Yes, that's why the manipulated me into thinking God was the answer
Yasionekana kwa macho ya nyama.Macho ya rohoni huona nini?
Inabidi ukasome vizuri kuhusu sadaka. Soma Biblia inasemaje kuhusu sadaka sio hisia zako kuhusu sadaka.Ila sadaka kumtajirisha mtu binafsi kwa baadhi ya madhehebu aisee inafikirisha sana!
Binadam ajiona keki sana kuliko viumbe wengine ndio maana kajitengenezea nadharia nyingi sana akihisi anapaswa kuishi milele....ukifa umekufa ndugu.
Unajua maana ya bar?
Acha kupotosha mwenzako. Kumbuka pia wayahudi sio msingi wa Ukristo maana wengi sio wakristo.Ile sehemu ya kumi sasa itumie, achana na mambo ya mbinguni na motoni. Ondoa hofu uwe huru. Mungu wako anatokana na jadi yako. Acha wayahudi na mambo yao, hayakuhusu.
Una ushahidi Gani kwamba Mungu hayupo pale?Ndo mlidanganywa hivyo?
Kinacho wakimutanisha watu ni hadhara yenye kuwafanya wawe pamoja, dini nikiwemo. Ila huwezi kusema kuna Mungu pale, pale kuna agenda tu za kuwafanya wapate cha kukutania
Pole sana.Nna muda sana sijaenda kanisani nmekuwa mzito sana
Yani kutoa sadaka tu ndicho kinachokuuma?. Si uache kutoa hakuna wa kukulazimisha.Na ndicho kinacho nifanya nione dini ni utapeli wa hali ya juu. Bora wa kina Elon musk wa najifurahisha kutengeneza gari zinazo paa kuliko wanaokesha kulia lia makanisani
Unapotosha sana. Yesu ndio Njia ya kweli na uzima hakuna aendaye kwa baba pasipo kupitia kwake.Bila shaka Kuna njia nyingi za kumjua Mungu si lazima kupitia au katika Yesu.
Umewahi kuota ndoto? Au kunusurika kufa? Au kuwa nusu kaputi?Kama hukioni kwa nini una kisema kama unakiona? Kwanini usiseme hizo ni hisia tu ambazo kila mtu anaweza kufanya akahisi?
Wewe wasema. Ila kwa hayo matusi atakaye kusikiliza atapotea maana huna Nuru.KWENYE HUU UZI RELIGIOUS FANATICS WATAKUJA KUCHAWIA HAPA.GADEMIT!!!
NYIE WAFIA DINI NG'OMBE KABISA ACHENI MKAMULIWE MPAKA MIFUPA.NANI KAKWAMBIA KUWA BINADAMU MWENZAKO ANAUWEZO WA KUKUOMBEA.
YEYE HANA SHIDA MKAPA AKUOMBEE WEWE.AMKENI NYIE MATAHIRA MNAPIGWA PESA NA WAJANJA.
RELIGION IS A SCUM NA NDIO MAANA WAJANJA WANAWABAMIZA BILA UWOGA WOWOTE.MUNGU NI AKILI YAKO STOP WASTING ENERGY AND ENRICH THOSE SCUMBAGS!!!!
Duh! Wewe Kila kitu unapinga.Nafsi ni nini? Ulisha wahi kuiona?
Yesu yupo Kila eneo.Ukisema hauwezi kumjua Mungu bila kupitia Kwa Yesu, maana yake umeangalia mazingira Yako tu.
Haujaangalia mazingira ya wengine India, Asia n.k
Tena wewe muda sio mrefu ndio itakuwa muhubiri mzuri, maana una chuki na maumivu ndani yako. Yani unaichukia wanaomtafuta kuliko watendaao maovu.WATANZANIA WANAPITWA NA MAMBO MENGI SABABU YA KUJIFUNGIA.JITU LIMEZALIA MPAKA LIMEANZA KUOTA MVII HALIJAWAHI KUTOKA NJE YA BARA LA AFRIKA.LAZIMA UWE ZUZU NA UPELEKESHWE NA WAJANJA.
USHAMBA MZIGO.DINI ZOTE NI SCUM/ UTAPELI.NA NI MIFUMO YA WACHACHE ILIYOWEKWA ILI KUWEZA KUTAWALA VIZURI.
DINI ZOTE ZINAZUIA TAFAKURI NA MASWALI MAGUMU.HUU KAMA SIO UJUHA SI ULOFA.
YAANI MIMI UNIJIE NA SOGA ZA MIAKA ALFU KENA NA WEHU UJE UNIAMBIE USENGEREMA AMBAO WEWE MWENYEWE UKITULIA VIZURI UNAJUA FIKA HAKUNA KITU CHANGA LA MACHO.HUU SI UJINGA.
INAINGIA AKILINI MTU ALITOKA MISRI AKAANDA KAANANI KWA MIAKA AROBAINI HIVI HATA KAMA ALIKUWA WANATAMBAA NDIO MIAKA AROBAINI.HIZI SI NDOTO😄😄😄
WENGINE WANAKUJA NA SOGA ZA KUTEMBEA JUU YA MAJI.HIVI MNAAKILI KWELI???HIVYO VICHWA MNAUWAKIKA MMEBEBA UBONGO???
Kasome asili ya Kikumi, imeanzia kwa mwanadamu mwenyewe. Kasome kuhusu Ibrahim na Yakobo, watu wa kwanza kutoa Zaka. Walitoa kwa upendo sio kwa kushurutishwa. Kama unaona kutoa Kikumi ni kazi kwako hulazimishwi.Uliambiwa katika pato lako mpe Mungu sehemu ya kumi. Tangu lini Mungu akawa na shida ya pesa? Msaidie mtu unaemjua wewe!!
Tofautisha Dini na ImaniSema dini zimekaa kitapeli Sana
MUNGU yupo Ila wanadini wanavyotufikishia habari zake inafikirisha
Mambo mengi wanamsingizia huyo MUNGU
Kumbe hujui? Sasa unabisha Nini?We've no idea, because it's nature's thing.
Hatujawahi na technology au awareness nini kimemleta kiumbe into⁴ existence
Acha uongo na upotoshaji.Ni sehem ya kutengeneza connection na maadiri ndo kaz kubwa