Dr. Bashiru alisema Hangaya hana sifa hata nusu za kuwa rais akatumbuliwa. Ona sasa ana shinda angani na rubani wake mtoto wa Mwakasege.Ukisema Ikulu ya Tanzania kwa sasa utakuwa unamaanisha wapi boss? DOM au DAR? Kwani Chifu yuko wapi? Mara ya mwisho alikuwa Dom, keshageuza kwani.
Katika ustawi wa jamii yako na familia yako, ndoa za jinsia moja zinakutatiza nini? what is so special with ndoa moja. As long as hawaingilii maisha ya wengine in whatever way, ya mtu yeyote let them live their life they think fit!Tony Blair alimwambia Mugabe kama hutaki ndoa za jinsia moja misaada utaisikia kwenye bomba.
Tujiandae ndoa za jinsia moja.
Wiki ijayo baba la baba David Cameron naye anakuja.
kkkkk
Mwenyewe najiuliza swali hilo hilo. Labda kuna biashara zake hapa anafuatilia zinavyokwenda.Huyu si alikuwepo nchini juzijuzi hapa?
Anafuata nini huku?
ushahidi? ach mambo ya vicobaDr. Bashiru alisema Hangaya hana sifa hata nusu za kuwa rais akatumbuliwa. Ona sasa ana shinda angani na rubani wake mtoto wa Mwakasege.
Yajayo yanafurahisha.
Hao huwa hawajali sana utawala Wala Sheria ikiwa wanapata wanachotaka.Amekuja kumkumbusha mama utawala bora wa sheria na haki za binadamu na aache kuwaogopa wanaomzunguka.
Hakika Mwamba yuko mbioni kurudi uraiani ili kuendeleza harakati za katiba mpya kuelekea Tanzania mpya.
mjini hiyo wewe.Ikulu ipi kwanza ya Dodoma au ya Dar-SlamMkuu??
Amekuja kwa mazungumzo!View attachment 1957478
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .
Swali ni hili , Amefuata nini ?
[emoji38][emoji38][emoji38]kaja kusikiliza kesi ya ugaidi
Is this satire?[emoji38][emoji38] Tony blair the war criminal?
Mbariki kwanza, au umesahau kazi yako.
Jiandae kuolewaTony Blair alimwambia Mugabe kama hutaki ndoa za jinsia moja misaada utaisikia kwenye bomba.
Tujiandae ndoa za jinsia moja.
Wiki ijayo baba la baba David Cameron naye anakuja.
kkkkk
Watavaa mpaka wapanuke mioyo,kwa akili zao wanasubiri mpaka mzungu aseme,,,,acheni Sasa kuvaa🤣🤣Yani mtu aliemkufa miaka 5 nyuma akifufuka leo aone viongozi wa dunia wanavyovaa mabarakoa atashangaa Sana
Hope iwe hivyoAmekuja kumkumbusha mama utawala bora wa sheria na haki za binadamu na aache kuwaogopa wanaomzunguka.
Hakika Mwamba yuko mbioni kurudi uraiani ili kuendeleza harakati za katiba mpya kuelekea Tanzania mpya.
View attachment 1957478
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .
Swali ni hili , Amefuata nini ?