Tony Blair amefuata nini Tanzania?

Tony Blair amefuata nini Tanzania?

Ukisema Ikulu ya Tanzania kwa sasa utakuwa unamaanisha wapi boss? DOM au DAR? Kwani Chifu yuko wapi? Mara ya mwisho alikuwa Dom, keshageuza kwani.
Dr. Bashiru alisema Hangaya hana sifa hata nusu za kuwa rais akatumbuliwa. Ona sasa ana shinda angani na rubani wake mtoto wa Mwakasege.

Yajayo yanafurahisha.
 
Tony Blair alimwambia Mugabe kama hutaki ndoa za jinsia moja misaada utaisikia kwenye bomba.
Tujiandae ndoa za jinsia moja.

Wiki ijayo baba la baba David Cameron naye anakuja.

kkkkk
Katika ustawi wa jamii yako na familia yako, ndoa za jinsia moja zinakutatiza nini? what is so special with ndoa moja. As long as hawaingilii maisha ya wengine in whatever way, ya mtu yeyote let them live their life they think fit!
 
Amekuja kumkumbusha mama utawala bora wa sheria na haki za binadamu na aache kuwaogopa wanaomzunguka.

Hakika Mwamba yuko mbioni kurudi uraiani ili kuendeleza harakati za katiba mpya kuelekea Tanzania mpya.
Hao huwa hawajali sana utawala Wala Sheria ikiwa wanapata wanachotaka.
Ndio maana unaona hadi leo wanamkumbatia kagame na museveni.
 
View attachment 1957478

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .

Swali ni hili , Amefuata nini ?
Amekuja kwa mazungumzo!
Tusubirie taarifa ya Ikulu kujua zaidi!
Vinginevyo ifahamike tu kuwa kwa mara nyingine Tanzania imerudi duniani kutoka Chattle mafichoni!
 
C579B7AE-D4B3-4696-A02C-CE37A3C07ADF.jpeg

Wengine hawa hapa, hakuna namna, lazima tupigwe tu safari hii.
 
Tony Blair alimwambia Mugabe kama hutaki ndoa za jinsia moja misaada utaisikia kwenye bomba.
Tujiandae ndoa za jinsia moja.

Wiki ijayo baba la baba David Cameron naye anakuja.

kkkkk
Jiandae kuolewa
 
Yani mtu aliemkufa miaka 5 nyuma akifufuka leo aone viongozi wa dunia wanavyovaa mabarakoa atashangaa Sana
Watavaa mpaka wapanuke mioyo,kwa akili zao wanasubiri mpaka mzungu aseme,,,,acheni Sasa kuvaa🤣🤣
 
Amekuja kumkumbusha mama utawala bora wa sheria na haki za binadamu na aache kuwaogopa wanaomzunguka.

Hakika Mwamba yuko mbioni kurudi uraiani ili kuendeleza harakati za katiba mpya kuelekea Tanzania mpya.
Hope iwe hivyo
 
Kuja kuwa treated as if he is still UK’s PM. Kule Twitter republic watu walimsemea hovyo lakini hakuelewa kanogewa. Hana reputation tena wala credibility baada ya kudharaulika sehemu nyingi duniani kwa kumuunga mkono Kichaka katika uvamizi wa Iraq kwa ushahidi FEKI.

Back
Top Bottom