Tony Blair amefuata nini Tanzania?

Sasa sio ufisadi nini acha ukilaza kijana ,tukokulipa kodi huko ulaya au wakati wa awamu ya tano ilikuwa noma

USSR
Anabisha wakati hata maana ya ufisadi hajui!
 
Blair alishatuuzia Rada kwa Bei kubwa kisa analinda ajira za watu wake 200 mpaka mawaziri was huko wakajiuzulu kwa uchungu lakini leo amegeuka kipenzi Cha watanzania
 
Kwa hiyo, Blair hana marafiki dunia nzima hadi umtaje ni rafiki wa Rais wetu? Why not rafiki wa Kagame, US na kwengine? Pili, ripoti ya Pandora inauhusiano wowote na kilichomleta nchini?

Tatu, hebu twambie ambacho Blair amechukua nchini? Umefika wakati sasa tuache mijadala ya ovyo na isiyokuwa na heshima kwa nchi yetu.
 
Ukishakua mpinzani sio lazima ujitoe ufahamu... You should use it all the time
 
Bravo..
Mkuu wewe ni kichwa sana... nilikosea tu muda wa kuweza vizuri..
Wana If ni wavivu wa kusoma
 

Jamaa anapotosha dhahir kwa chuki zake tu
 
Mleta uzi uelewa wake wa lugha ya malkia ni finyu kama mwendakuzimu.
Misukule ni misukule tuuu.
 
Yani mtu aliemkufa miaka 5 nyuma akifufuka leo aone viongozi wa dunia wanavyovaa mabarakoa atashangaa Sana
Ndio vzr mficha maradhi kifo humuumbua. Covid 19 [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Na hiyo manake nini? Ndo uzalendo huo kiongozi kukwepa kodi?
nimefuatilia pia hizo Pandora leaks, hamna ufisadi wa Blair ulotajwa mle zaid ya kutokulipa cooperate tax which also is okey kwa mujibu wa sheria na namna manunuzi yalivofanyika…Soma tena mkuu labda tukushauri tena.
 
View attachment 1957478

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .

Swali ni hili , Amefuata nini ?
Ni bora umelishikia bango wewe maana kwa wengine wanapuuzwa muda ni mwalimu wa kila kitu AIBU KUBWA INAENDA KUIKUMBA TANZANIA na itaibua mgogoro baina yake na wananchi
 
nimefuatilia pia hizo Pandora leaks, hamna ufisadi wa Blair ulotajwa mle zaid ya kutokulipa cooperate tax which also is okey kwa mujibu wa sheria na namna manunuzi yalivofanyika…Soma tena mkuu labda tukushauri tena.




 
Yani mtu aliemkufa miaka 5 nyuma akifufuka leo aone viongozi wa dunia wanavyovaa mabarakoa atashangaa Sana
Nchi kama China barakoa kwao ni kawaida hata kabla ya Corona.
Ni waoga sana wa magonjwa ya kuambukizwa kwa njia ya hewa,, nadhani mafua ya ndege yamepelekea hiyo tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…