Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Anabisha wakati hata maana ya ufisadi hajui!Sasa sio ufisadi nini acha ukilaza kijana ,tukokulipa kodi huko ulaya au wakati wa awamu ya tano ilikuwa noma
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anabisha wakati hata maana ya ufisadi hajui!Sasa sio ufisadi nini acha ukilaza kijana ,tukokulipa kodi huko ulaya au wakati wa awamu ya tano ilikuwa noma
USSR
Wewe unamsikiliza huyo mpungukiwa kichwani?
Kasome tena post yanguSasa sio ufisadi nini acha ukilaza kijana ,tukokulipa kodi huko ulaya au wakati wa awamu ya tano ilikuwa noma
USSR
Katika records za kidunia, ukubwa wa eneo wa ikulu ya dodoma ni balaaa. usichukulie poa.Ikulu yetu Kubwa kaliko Duniani(Maviiii)
Bravo..Tena kimsingi sio kwamba amekwepa kodi
Naruadia, kama lugha inakupiga chenga, uwe unatumia angalau dictionary!!
Kilichotokea ni kwamba, Tony Blair amenunua shares za kampuni iliyopo/iliyosajiriwa Virgin Island!!
Hiyo kampuni inamiliki nyumba tajwa !!
Kwavile Blair amenunua shares za hiyo kampuni, automatically anakuwa mmiliki wa hiyo nyumba!!
Sasa basi, Virgin Island, kama zilivyo sehemu zingine kama hizo, yenyewe ni Tax Heaven!!
Na kwavile Blair amenunua kampuni kutoka tax heaven area, it means hakulipa kodi yoyote, na sio kwamba amekwepa bali ndo sheria zenyewe za Virgin Island!!
Ndio maana Navalny anasota gerezani mpaka leoPutin Vladimir
Mkuu .
Wamesema kuwa Blair alinunua nyumba bila kulipa kodi kwa kutumia loophole ambayo ipo kisheria
Alinunua kampuni ambayo inamiliki hio nyumba automatically property ikawa yao.
Angekuwa mwananchi wa kawaida angelipa hio kodi.
Kisheria zao za tax hana kosa
Ndio vzr mficha maradhi kifo humuumbua. Covid 19 [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Yani mtu aliemkufa miaka 5 nyuma akifufuka leo aone viongozi wa dunia wanavyovaa mabarakoa atashangaa Sana
nimefuatilia pia hizo Pandora leaks, hamna ufisadi wa Blair ulotajwa mle zaid ya kutokulipa cooperate tax which also is okey kwa mujibu wa sheria na namna manunuzi yalivofanyika…Soma tena mkuu labda tukushauri tena.Na hiyo manake nini? Ndo uzalendo huo kiongozi kukwepa kodi?
Acha porojo mkuuHuyo Blair ni dalali hatari sana
Mama apunguze kuentertain hao jamaa aisee
Ni bora umelishikia bango wewe maana kwa wengine wanapuuzwa muda ni mwalimu wa kila kitu AIBU KUBWA INAENDA KUIKUMBA TANZANIA na itaibua mgogoro baina yake na wananchiView attachment 1957478
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .
Swali ni hili , Amefuata nini ?
nimefuatilia pia hizo Pandora leaks, hamna ufisadi wa Blair ulotajwa mle zaid ya kutokulipa cooperate tax which also is okey kwa mujibu wa sheria na namna manunuzi yalivofanyika…Soma tena mkuu labda tukushauri tena.
😂Anajihumuza ukute kazi imemshinda tayari.Mbariki kwanza, au umesahau kazi yako.
Nchi kama China barakoa kwao ni kawaida hata kabla ya Corona.Yani mtu aliemkufa miaka 5 nyuma akifufuka leo aone viongozi wa dunia wanavyovaa mabarakoa atashangaa Sana