Kuna msemo wetu TUNAITAGAKuna jamaa angu msukuma ni poti,jana nikamtembelea kwake,jamaa akarusha nguna kubwa nikajua ni ya watu 8 kumbe ni ya watu wawili,tumeipiga wee ,me nikasanda,mshikaji kiutani akaifyeka ile nguna halafu akashushia na jagi la maji.nikajisemea huyu fala hapa kwake debe la mahindi ni siku tatu tu linakata
Kama akina duduqe hawapo humu basi hi list ni fekiMko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
Umenikumbusha siku flani nilimtembelea jamaa yangu flani ni msukuma,ilikua around saa 4 asubuhi, nikakaribishwa mezani hotpot limejaa ndizi nyama,nikapiga fresh tukatoka nje na jamaa yangu kupunga upepo nikajua ile ndio ilikua lunch,kufika saa 7 mchana naona mke wa jamaa anatukaribisha tena mezani kula ugali,huo ugali sasa ulikua mkubwaa kinoma afu walaji tuko watatu,me nikala kidogo nikanawa,huyu jamaa angu na ndugu yake mwingine wanaishi nae hapo kwake walipiga ule ugali mpaka ukaisha.Wanyamwezi ni ndugu zao wasukuma ila cha ajabu hawapo kabisa kwenye list halafu umeweka wahaya kwenye top 5!
Kwanza wahaya ungewatoa kabisa hapo maana ndizi ni uji uliochangamka. Mnyamwezi/msukuma akitumia ndizi kama chakula chake kikuu atajikuta anakula kila baada ya masaa 2, yaani atakula angalau milo 6-8 kwa siku
Mbona wakurya sio walaji?Hiyo namba 8 ikawe namba 2
Labda waliokulia mjini mkuuMbona wakurya sio walaji?
Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo