Top 10 ya Makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania

Top 10 ya Makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania

Nilihisi tu kwenye orodha lazima Wasukuma watashika namba 1.

Ila sina hakika kama ni ukweli unaoungwa mkono na tafiti …
Wasukuma lazima wawe namba wani kila sector. Kwa sababu wako kila mahali Tanzania, wanachapa kazi so mchezo. Ulitaka awemo mzaramo anafanya kazi gani.
 
hao wasukuma ni wanaume tu ndio wanaokula sana au ni pamoja na wanawake wao? eti wakuu?
 
Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
Wasukuma umepatia 💯 kabisa lkn wasafwa hapana kabisa
 
Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
Makabila yanayoongoza kula chakula kidogo vile vile wanaoongoza kwa uzembe, kukaa vijiweni na watoto wao kuwa na utapiamlo..
 
Wanyamwezi, Wamakonde, Wamaasai, Wahehe, Wabena, Wamalila, Waandali, Wamanyema, Waluguru, Wapogoro, Wachagga, Wapare, Wakaguru, Wajinga, na Wasangu

Angalizo, wenye asili ya kufanya vibarua na kulima sana kwa vikundi na masaa mengi ndio vinara,

1. Wasukuma
2. Wanyamwezi
3. Wagogo
4. Waandali
5. Wasafwa,
6. Wamalila
7. Wanyiha
8. Wahehe
9. Wabena
10. Wamaasai
11. Wakurya
12. Wakala
13. Wakerewe

Note: Mhaya anaongoza kwa ulafi na uchoyo anaweza kudowea chakula chako ila plate yake ikija anakukataa makavu, ogopa roho mbaya ya Mhaya, na mpate
 
Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wanyaturu
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
 
Kuna jamaa angu msukuma ni poti,jana nikamtembelea kwake,jamaa akarusha nguna kubwa nikajua ni ya watu 8 kumbe ni ya watu wawili,tumeipiga wee ,me nikasanda,mshikaji kiutani akaifyeka ile nguna halafu akashushia na jagi la maji.nikajisemea huyu fala hapa kwake debe la mahindi ni siku tatu tu linakata
Ungesema kwa Sauti ili ukumbane na virungu vya kijeda
 
Wanyamwezi, Wamakonde, Wamaasai, Wahehe, Wabena, Wamalila, Waandali, Wamanyema, Waluguru, Wapogoro, Wachagga, Wapare, Wakaguru, Wajinga, na Wasangu

Angalizo, wenye asili ya kufanya vibarua na kulima sana kwa vikundi na masaa mengi ndio vinara,

1. Wasukuma
2. Wanyamwezi
3. Wagogo
4. Waandali
5. Wasafwa,
6. Wamalila
7. Wanyiha
8. Wahehe
9. Wabena
10. Wamaasai
11. Wakurya
12. Wakala
13. Wakerewe

Note: Mhaya anaongoza kwa ulafi na uchoyo anaweza kudowea chakula chako ila plate yake ikija anakukataa makavu, ogopa roho mbaya ya Mhaya, na mpate
Sikujua kama kuna kabila la Wajinga.
 
Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
Umepatia kweli hii list.
 
Kula chakula kingi kinatokana na mambo mengi sana miongoni mwao ni aina ya kazi lakini upatikanaji wa chakula
Kwa mfano makabila yote uliyotaja ni watu wa kazi kazi, sasa mtu analima nusu heka kwa siku ulaji wake utalinganisha na mtu anayewaza kwenda kunywa kahawa asubuhi huku akibishana kuhusu simba na yanga?

Alafu ukiona chakula kinapikwa kingi ujue pia ndani kipo kingi mimi sio miongoni mwa kabila tajwa lakini toka nakua tunaambiwa wakati wa kula sharti chakula kibakie hvyo lazima kipikwe kingi.

Kuna makabila ni mavivu sana mtu msimu mzima analima robo heka huk ana familia na sio mfanyabiashara maeneo mengine anakodisha kisa hataki kazi ngumu.

Waacheni na maisha yao kwani wanakuomba pesa ya kununulia hvyo vyakula?
 
Nilihisi tu kwenye orodha lazima Wasukuma watashika namba 1.

Ila sina hakika kama ni ukweli unaoungwa mkono na tafiti …
Nyie nembo ya taifa lazima mshike namba moja kwa kila kitu…!!

Juzi ndugu zako wa Simiyu walipakiwa kwenye lori la mang’ombe kwenda kujaza mkutano wa mama (Ng’ombe wa mama) 😹😹😹
 
Back
Top Bottom