Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Sema uzuri Wasukuma uchoyo ndiyo hawanaga. Bibi yangu Msukuma. Muda wowote utakaofika ulikuwa unakuta kiporo fulani kimewekwa.
Ingawa mi mnyakyusa ila kwa hili nawapongeza wasukuma, kuna kipindi mzee wangu alikuwa na mashamba usangu, kwenye zile nyumba za mashambani mara nyingi hazifungwi milango basi njaa ikiwauma wakina ngosha utakuta wameingia ndani na kujisevia wenyewe.Hahahaa!
Ila Wasukuma bana…..kuna aina flani ya ustaarabu iliyowapiga chenga!
Hapa Bariadi mjini kuna eneo linaitwa Kidinda.
Kila Jumanne huwa kuna mnada wa mifugo.
Sambamba na mnada huo huwa wanachinja na kuchoma nyama [sana sana mbuzi na kondoo].
Unaweza kununua sahani yako ya nyama choma na ukakaa hapo hapo na kula.
Kama ni mgeni, ni vyema mtu usiende peke yako.
Kuna watu huwa wanaenda hapo mnadani kwa lengo la kula tu.
Na siyo kula kwa kununua wao hizo nyama choma.
Ni kula kwa kudoea.
Ile ukitengewa tu sahani yako, utaona hao wanakuja na kuanza kusimama karibu na ulipoketi.
Sasa hapo wenzio wanakusoma tu waone kama watajisogeza ili wale na wewe.
Mwishowe utaona mmoja anajisogeza kabisa na kukusalimia kama ndugu yako na kuanza kula bila hata ya kumkaribisha 🤣.
Kama huwajui jinsi walivyo, unaweza ukapaniki sana. Ila wenzako ndo wako hivyo na hawaoni ubaya wowote ule kuanza kula chakula chako bila hata kukaribishwa au kunawa mikono.
View attachment 3376748
Kuna wakitimotoWachaga wanakunywa uji wa ulezi na finyango ya nyama choma, wanashishia na bia au mbege hawapendi makuu
😂😂😂Wasukuma ni balaaa yani
Kuna siku tulipita pagaran misungwi tulibaki hoi maana kinyes ni mlima km kanya fungo😂😂😂Kula chakula kingi! Ujazo ujazavyo tumboni ndio utokavyo chooni! Vipi kushusha mzigo chooni, wanashusha kilo ngapi? Hiyo ndiyo biashara nzuri ya magari ya maji taka kuja kusafisha vyoo vinavyojaa haqaka!
ACHA poti ale unajua kukimbizana na vibaka huna kitu tumboni ni kazi mkuuKuna jamaa angu msukuma ni poti,jana nikamtembelea kwake,jamaa akarusha nguna kubwa nikajua ni ya watu 8 kumbe ni ya watu wawili,tumeipiga wee ,me nikasanda,mshikaji kiutani akaifyeka ile nguna halafu akashushia na jagi la maji.nikajisemea huyu fala hapa kwake debe la mahindi ni siku tatu tu linakata
Mwanaume unashindwa Ugali kweli!?Umenikumbusha siku flani nilimtembelea jamaa yangu flani ni msukuma,ilikua around saa 4 asubuhi, nikakaribishwa mezani hotpot limejaa ndizi nyama,nikapiga fresh tukatoka nje na jamaa yangu kupunga upepo nikajua ile ndio ilikua lunch,kufika saa 7 mchana naona mke wa jamaa anatukaribisha tena mezani kula ugali,huo ugali sasa ulikua mkubwaa kinoma afu walaji tuko watatu,me nikala kidogo nikanawa,huyu jamaa angu na ndugu yake mwingine wanaishi nae hapo kwake walipiga ule ugali mpaka ukaisha.
Wasukuma wakija kkoo wanakwambia nipe lile shati la maua la elfu 25 😹😹😹Kuna WUWA kaliwona hapo kwenye mujiii wa mzee wakoo 😁
Ngoja niweke kingine Cha wasukuma na Mimi.
Miaka Fulani tulipata wageni nyumbani walikua wanaume watatu mama akawa anapika vyakula laini laini wali, Ndizi , viazi mviringo NYAMA tambi, mikate.
Haaahaa 😆 🤣 walipo rudi kwao WAKASEMA tumeenda kule ugenini hatujala siku TATU ZOTEEE tulizo kaa hukooooo. Wao mentality yao chakula ni UGALI Tena MIKUBWA MIKUBWA
Yaani wasukuma wa enzi izo washamba Sana ukimpikia Ndizi/ viazi mviringo NYAMA anasema hawajala siku TATU ZOTEEE wenyewe chakula ni UGALI MKUBWA MKUBWA
ukiwakalibisha CHUMBANI WAKATI wa kuondoka wanabeba mashuka na mafuta ya kupaka taulo na ndalaa ndio kisa hata guest wakaanza principal za kuweka ndala zikiwa zimekatwa au Simba na yanga
Kwa uchache sanaa
Wagogo umewaoneaMko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za Kitanzania, na hii ndiyo orodha yangu ya top ten ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania:
1. Wasukuma
2. Wanyakyusa
3. Wasafwa
4. Wajita
5. Wahaya
6. Waha
7. Wajaluo
8. Wakurya
9. Wangoni
10. Wagogo
Haaahaa,Wasukuma wakija kkoo wanakwambia nipe lile shati la maua la elfu 25 😹😹😹
Hawajui km huku hilo shati elfu saba, bei aliyouziwa kwao mnadani anajua ndo bei hiyo hiyo Tanzania nzima…!!!
Nyani Ngabu 😹😹😹Haaahaa,
Ukimwambia lipo la 7000 kama hilo hilo ana 🏃🏃🏃 atajua ni fake.
Wasukuma genetically Wana zaliwa na genes za USHAMBA automatically 🤣 😂
Kuna jamaa yangu msukuma tulisoma nae chuo sasa mwamba mlikuwa mkiingia kafteria anagonga chapati sita na chai ya maziwa halafu anaweka supu ya samaki baada ya hapo anashushia ndizi za kuiva tano zile kubwa akimaliza anakunywa dasani ile kubwa yote.
Fungakazi sasa kaka yangu alioa msukuma sasa nilipoenda kutembelea ukweni nilipokelewa vizuri maana tulienda na shemeji ( mke wa kaka)
Picha linaanza likaletwa sinia la viazi vimejaa na maziwa kale kandoo ka lita kumi halafu tupo watu watatu mimi nikajua ndio msosi sasa nikala nikashiba wale jamaa walipiga maziwa yote.
Baada ya kumaliza kula tukawa tunacheza karata ilikupoteza muda
Aise baada ya masaa mawili ukaletwa ugali na samaki sangala da mimi niligusa kidogo nikawa hoi wale jamaa waligonga msosi balaa ukaisha.
Baada ya kula nikamwambia shemeji twende home akasema nisubili kwanza eti bado muda wa chakula cha mgeni.
Kufika mida ya saa kumi ndio ukaletwa wali na nyama aise nilijilaumu sana kula viazi vingi halafu shemeji hakuwa ameniambia utaratibu wa kwao kama upo hivyo yani nilikula nyama finyango tatu nikawa nimeshiba.
Nyingine hii hapa kaka yangu huyu ni mtumishi hukohuko usukumani sasa wasukuma walikuwa wanampenda sana hata nilivyokuwa nikitoka likizo ya advance nilikuwa naenda kwake
Sasa sikumoja nipo likizo kwake kaka akawa amealikwa harusini yeye ndio alikuwa mwenyekiti wa kamati ya chakula.
Aise picha inaanza muda wa chai tukaletewa lilelijaba limejaa maandazi mzee wasukuma wanakula sana yani tulikula jaba zima watu wanne mimi nilikula kidogo nikawa nimeshiba nilisubilia muda wa nyama na wali maana nilikumbuka ule utaratibu wa kwao na shemeji
Zile njemba zinajua kukomba nyama hatari utasikia ng'wana juma makubhi! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hao ni vyakula vya kilimo tu,Kuna Hawa wanyakyusa nao ni balaa